Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

upendo

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

 

 

Mwenyeheri Sr. Leonella Sgorbati aliuwawa kikatili kwa chuki za kidini tarehe 17 Septemba 2006 huko Somalia.

Mwenyeheri Sr. Leonella Sgorbati aliuwawa kikatili tarehe 17 Septemba 2006 huko Modagisho, nchini Somalia.

Mwenyeheri Sr. Leonella ni shuhuda wa udugu, upendo na msamaha

25/05/2018 16:25

Kardinali Angelo Amato anasema, Mwenyeheri Leonella Sgorbati ni chombo na shuhuda wa udugu, upendo na msamaha. Katika moyo wa unyenyekevu na huduma makini kwa maskini, aliweza kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya Mungu na jirani, kielelezo cha Amri Mpya ya Upendo!

Mwenyezi Mungu ameandaa karamu ya uzima wa milele, jambo la msingi ni kuwa na vazii rasmi la harusi, yaani neema ya utakaso!

Mwenyezi Mungu ameandaa karamu ya maisha ya uzima wa milele, jambo la msingi ni kuwa na vazi rasmi, yaani neema ya utakaso.

Mwaliko kwenye karamu ya uzima wa milele! Sharti ni vazi la harusi

11/10/2017 15:54

Mwenyezi Mungu amewaandalia waja wake karamu ya maisha ya uzima wa milele, jambo la msingi ni mtu mwenyewe kuwajibika barabara kukubali mwaliko huu uliotolewa na Manabii, Yesu, Mitume na Kanisa kwa wakati huu! Jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba, daima unakuwa na vazi la harusi!

 

Papa Francisko anaandika kuwa Munster ndipo mkutano unaendelea wa njia  za amani na mazungumzo  yaliyoanzishwa na Mt. Yohane Paulo II huko Assizi 1986

Papa Francisko anaandika kuwa Munster ndipo mkutano unaendelea wa njia za amani na mazungumzo yaliyoanzishwa na Mt. Yohane Paulo II huko Assizi 1986.

Papa Francisko:Katika vurugu hizi utafikiri hakuna njia za amani

11/09/2017 14:58

Papa Francisko ametuma ujumbe katika Mkutano wa Njia za Amani huko Osnabruk Ujermani akisema,tuendelee kufungua pamoja njia mpya za amani.Taa za amani zinawaka mahali ambapo kuna giza la chuki.Ni lazima utashi kwa upande wa wote ili kuweza kuondokana na vikwazo vya mgawanyiko.