Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Upatanisho wa kitaifa

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya viongozi wa Korea ya Kusini na Kaskazini katika kujenga umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko anaunga mkono mchakato wa majadiliano kati ya Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini yanayopania kujenga na kudumisha: umoja, udugu na urafiki.

Papa Francisko aunga mkono juhudi za Korea kukutana na kujadiliana!

25/04/2018 15:21

Baba Mtakatifu Francisko anapongeza mchakato mzima wa juhudi za kutaka kuwakutanisha viongozi wa Korea ya Kaskazini na Korea ya Kusini kama sehemu muhimu sana ya juhudi za upatanisho, umoja, haki na ujenzi wa udugu na urafiki! Kanisa linaunga mkono juhudi hizi kwa hali na mali!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, hiki ni kipindi cha mchakato wa uponyaji na upatanisho wa kitaifa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, hiki ni kipindi cha mchakato wa uponyaji na upatanisho wa kitaifa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya: Ni muda wa uponyaji na upatanisho

15/03/2018 10:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linapongeza juhudi ambazo zimefanikisha kuwakutanisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Bwana Raila Odinga, Kiongozi mkuu wa upinzani na kwamba, huu ni mwanzo wa mchakato wa uponyaji, upatanisho, umoja na mshikamano wa kitaifa nchini Kenya.

Noeli Sudan ya Kusini iwe ni fursa ya kuachana na vita ili kuanza mchakato wa upatanisho wa kitaifa!

Noeli Sudan ya Kusini iwe ni fursa ya kuachana na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyosababisha maafa makubwa na kuanza mchakato wa haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Noeli kiwe ni kipindi cha matumaini kwa wananchi wa Sudan ya Kusini

22/12/2017 11:22

Baraza la Makanisa Sudan ya Kusini linasema vita ya wenyewe kwa wenyewe imesababisha majanga makubwa kwa wananchi sanjari na kuwagawa katika misingi ya ukabila usiokuwa na mvuto wala mashiko! Kuna haja ya kukazia uragibishaji, jukwaa la majadiliano, upatanisho na miundo mbinu!

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea, kuimarisha upatanisho wa kitaifa, iili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko anawaomba Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kuimarisha upatanisho wa kitaifa ili kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao!

Papa Francisko: Imarisheni upatanisho wa kitaifa ili kujenga Iraq

06/10/2017 06:17

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika Mababa wa Sinodi ya Kanisa la Caldea kujizatiti kikamilifu katika mchakato wa upatanisho wa kitaifa nchini Iraq, ili hatimaye, waweze kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yao kama: uhamiaji wa nguvu dhidi ya Wakristo, ujenzi wa vijiji na miito mitakatifu!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia ni tukio lililowagusa wengi!

Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia tarehe 8 Septemba 2017 ni tukio liliwagusa wananchi wa Colombia kutoka katika undani wa maisha yao!

Yaliyojiri kwenye Ibada ya Upatanisho wa Kitaifa nchini Colombia

09/09/2017 16:21

Baba Mtakatifu Francisko anasema, ametamani sana kupata nafasi ya kulia, kusali na kuomba msamaha na familia ya Mungu nchini Colombia kama sehemu ya mchakato wa ujenzi wa amani na upatanisho, tayari kuanza ukurasa mpya unaosimikwa katika umoja, udugu na mshikamano wa kitaifa!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira!

Papa Francisko: Colombia jipatanisheni na Mungu, Jirani na Mazingira!

08/09/2017 15:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upatanisho ni mlango unaowafungulia watu wote walioathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii fursa ya kushinda kishawishi cha kutaka kulipiza kisasi kwa kujichukulia sheria mikononi na badala yake, wanakuwa ni wadau wa ujenzi wa amani na upatanisho!

Papa Francisko amewasili nchini Colombia tayari kuanza hija ya amani na upatanisho kati ya watu wa Colombia!

Baba Mtakatifu Francisko amewasili nchini Colombia tayari kuanza hija ya amani na upatanisho miongoni mwa wananchi wa Colombia!

Baba Mtakatifu Francisko "atinga timu" nchini Colombia!

07/09/2017 12:16

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wananchi wa Colombia kuwa ni mashuhuda wa furaha na matumaini na kamwe wasiwaruhusu wajanja wachache kuwapoka furaha yao; wajielekeze sasa katika mchakato wa haki, amani na maridhiano yanayofumbatwa katika msamaha na upatanisho wa kweli!

Upatanisho: Mapadre 40 waliuwawa kati ya mwaka 1987 hadi mwaka 2003; Makanisa 63 kuchomwa moto katika kipindi hiki.

Upatanisho: Mapadre 40 waliuwawa nchini Colombia kati ya Mwaka 1987 hadi mwaka 2004; Makanisa 63 kuchomwa moto.

Mada zinazoongoza hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Colombia!

05/09/2017 12:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Colombia linasema, hija ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Colombia inaongozwa na mada zifuatazo: Upatanisho, haki na amani; Injili ya uhai na familia; Ufuasi, Umisionari na utume unaowasukuma Wakristo kuwa ni vyombo na mashuhuda wa uinjilishaji wa kina!