Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Unyenyekevu kwa Roho Mtakatifu

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa:Tukubali unyenyekevu na kudhalilishwa ili kufanana na Yesu!

05/12/2017 15:59

Unyenyekevu ni kipawa muhimu cha maisha ya mkristo.Ni maneno ya msisitizo wa Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake,siku ya Jumanne 5 Desemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta mjini Vatican.Kila mkristo ni kichupikizi kidogo mahali pa kutua Roho Mtakatifu wa Bwana 

 

Papa Francisko anawataka waamini kulipokea Neno la Mungu kwa unyenyekevu bila kuwa na shingo ngumu, ili liweze kuwa ni chemchi ya maisha ya Kikristo!

Papa Francisko anawataka waamini kulipokea Neno la Mungu kwa unyenyekevu pasi na kufanya shingo ngumu ili kweli Neno hili liweze kuwa ni chemchemi ya maisha bora ya Kikristo!

Papa: Pokeeni Neno la Mungu kwa unyenyekevu ili liwapatie amani!

09/05/2017 14:19

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kulipokea Neno la Mungu kwa unyenyekevu ili liweze kuwa ndani mwao chemchemi ya: huruma, wema, amani na mapendo ya dhati, tunu msingi zinazopaswa kumwilishwa katika uhalisia wa maisha ya Kikristo alama ya unyenyekevu kwa Roho Mtakatifu!