Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Unyanyasaji wa kimwili

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi wa watoto

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi na ulinzi wa watoto nchini Ethiopia

Maaskofu Ethiopia: Mungu ametoa jukumu kwa wafuasi kulinda watoto !

07/06/2018 14:06

Mwakilishi wa Kitume huko Jimma Bonga nchini Ethiopia, Askofu Mkuu Markos Gebremedhin,(CM) wakati wa uzinduzi rasmi wa Siasa ya utetezi na ulinzi wa watoto kwa upande wa Kanisa Katoliki amesema, wafuasi wote wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda na kusaidia makuzi ya watoto katika dunia 

 

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 29 Januari na Boko Haramu

Baadhi ya wasichana wa Dapchi nchini Nigeria walioachiwa huru mara baada ya kutekwa nyara tangu 19 Februari na Boko Haramu

Nigeria:Wasichana zaidi ya 100 waliotekwa nyara na Boko Haram wameachwa huru!

22/03/2018 15:51

Unicef imepokea kwa furaha kubwa habari za kuachiwa huru watoto waliotekwa nyara na Boko Haramu tarehe 19 Februari 2018 katika shule ya Dapchi , huko Yobe Kaskazini mashariki ya Nigeria.Watoto hao wako tayari mikononi mwa familia zao.Raarifa ni kwamba,warudi zaidi ya wasichana 100

 

Kardinali Monsengwo anasikitishwa na matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya raia waandamanaji

Kardinali Monswengo anasikitishwa sana na matumizi makubwa dhidi utu ne heshena ya binadamu.

Kard. Laurent Monsengwo akemea ukatili na uvunjwaji wa haki msingi

25/01/2018 10:56

Padre Roberto Masinda aliyekuwa ametekwa nyara hivi karibuni huko DRC ameachiliwa huru kuendelea na misha na utum wake Jimbo Butembo Beni, ambako amekuwa akifanya utume wake tangu mwaka 2012 hadi wakati huu. Maaskofu wanasikitishwa na matumaini makubwa ya nguvu.

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma kufikia 2030

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma ifikapo mwisho wa malengo ya maendeleo endelevu

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef, Milioni 27 ya watoto hawaendi shule

21/09/2017 16:05

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef,Watoto milioni 27 wameacha shule katika nchi 24 duniani zikiunganishwa na nchi zenye migogoro.Ripoti hiyo imetolewa wakati wa tukio la Mkutano wa Umoja wa mataifa mjini New York mapema tarehe 19 Septemba 2017.Utafiti pia kwa watoto na vijana wahamiaji