Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Unyanyasaji wa kijinsia

Papa Francisko anawataka Maaskofu wa Chile kujenga Kanisa la kinabii linalojikita katika huduma makini kwa watu wa Mungu.

Papa Francisko anawataka Maaskofu Katoliki nchini Chile kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika huduma makini kwa watu wa Familia ya Mungu.

Papa Francisko: Jengeni Kanisa la Kinabii na Huduma nchini Chile!

18/05/2018 08:54

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kukutana, kusali, kutafakari na kuchunguza dhamiri pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki Chile kuhusu kashfa ya nyanyaso za kijinsia zilizochafua na kuvuruga umoja wa Kanisa, anawataka sasa kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika msingi wa huduma!

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji kwa wanawake wa Parokia ya Don Bosco, DRC.

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi wa kilimo na ufugaji bora kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC.

Wanawake nchini DRC wanajifunga kibwebwe kupambana na hali yao!

15/05/2018 08:56

Shirika la Wasalesiani wa Dono Bosco limebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji wa kisasa kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC. Lengo ni kuwajengea wanawake uwezo wa kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za maisha kwa wakati huu!

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma kufikia 2030

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma ifikapo mwisho wa malengo ya maendeleo endelevu

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef, Milioni 27 ya watoto hawaendi shule

21/09/2017 16:05

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef,Watoto milioni 27 wameacha shule katika nchi 24 duniani zikiunganishwa na nchi zenye migogoro.Ripoti hiyo imetolewa wakati wa tukio la Mkutano wa Umoja wa mataifa mjini New York mapema tarehe 19 Septemba 2017.Utafiti pia kwa watoto na vijana wahamiaji 

 

Afrika ya Kusini mtoto mmoja kati ya watano ameathirika na vitendo vya kijinsia, wakati asilimia 75% ya watoto wanakabiliwa na uonevu mashuleni

Afrika ya Kusini mtoto mmoja kati ya watano ameathirika na vitendo vya kijinsia, wakati asilimia 75% ya watoto wanakabiliwa na uonevu mashuleni na majumbani.

AF.Kusini:Askofu alaani vitendo vya kihalifu dhidi wanawake na watoto

25/05/2017 14:19

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Afrika ya Kusini anaonesha takwimu za utafiti wa hivi karibuni  uliofanyika nchini humo kwamba,mtoto mmoja kati ya watano ameathirika na vitendo vya kijinsia, wakati asilimia 75% ya watoto wanakabiliwa na uonevu mashuleni na majumbani,na pia wimbi la wanawake