Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Unabii

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia kufikisha ujumbe wa Habari Njema kwa waja wake!

Mwenyezi Mungu anatumia watu, mazingira na historia ili kuweza kufikisha ujumbe wa habari Njema kwa waja wake.

Tafakari ya Neno la Mungu: Ujumbe wa Mungu si rahisi sana kupokelewa!

07/07/2018 07:26

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili XIV ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inaonesha jinsi ambavyo ni vigumu sana kupokea Habari Njema ya Wokovu, lakini Mwenyezi Mungu anatumia watu, historia na matukio mbali mbali katika maisha ya mwanadamu ili kufikisha ujumbe wake kwa binadamu!

Papa amewashauri mapadre wa Chama cha Prado watoe ushuhuda kama mwanzilishi wao, Mwenyeheri Padre Chevrier

Papa amewashauri mapadre wa Chama cha Prado watoe ushuhuda kama mwanzilishi wao, Mwenyeheri Padre Chevrier

Papa anawashauri Chama cha Mapadre wa Prado kuongea juu ya Yesu Kristo!

07/04/2018 17:17

Tarehe 7 Aprili 2018  Papa Francisko amekutana na Jumuiya ya familia ya mapadre wa Prado kutoka Ufaransa, katika Ukumbi wa mkutano mjini Vatican Papa Francisko anasema: Hata nyakati zetu,zinatambua umaskini wake ambao ni wa zamani na mpya kwa mfano wa mwanzilishi wao Padre Chevrier! 

 

Kristo Yesu ni mpatanishi na utimilifu  wa Ufunuo wote, ni Sura ya ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake.

Kristo Yesu ni mpatanishi na utimilifu wa Ufunuo wote! Ni Sura ya ufunuo wa huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu.

Manabii ni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu!

26/01/2018 07:00

Mama Kanisa anafundisha na kukiri kwamba, Kristo Yesu ni mpatanishi na utimilifu wa ufunuo wote. Yeye ndiye Neno wa Mungu aliyefanyika mwili na kukaa kati ya watu wake, ili kuwafunulia wanadamu Uso wa huruma ya Mungu, kwa kuwatangazia toba na maondoleo ya dhambi ili wapate uzima wa milele!

Papa Francisko asema, vyama vya wafanyakazi vinapaswa kulinda na kutetea haki msingi za wafanyakazi na kuwa ni sauti ya wanyonge.

Papa Francisko asema, vyama vya wafanyakazi vinapaswa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wafanyakazi na kuendelea kuwa ni sauti ya wanyonge ndani ya jamii.

Vyama vya wafanyakazi visimame kidete kutetea haki za wafanyakazi!

30/06/2017 07:43

Baba Mtakatifu Francisko anasema vyama vya wafanyakazi vina wito na dhamana muhimu sana kwani vinapaswa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za wafanyakazi! Vinapaswa kuwa ni sauti ya wanyonge, lakini vikiendekeza rushwa na ufisadi, vitakuwa ni kikwazo cha haki!