Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Umaskini wa Kijamii

Kanisa la Burundi kjifunga kibwewe ili kuwasadia kabila wa Batwa ambao wamewekwa pembezoni mwa jamii na umaskini wa kukithiri

Kanisa la Burundi kjifunga kibwewe ili kuwasadia kabila wa Batwa ambao wamewekwa pembezoni mwa jamii na umaskini wa kukithiri

Kanisa la Burundi kutetea haki za maisha ya kabila dogo la Batwa !

22/06/2018 13:34

Kanisa katoliki nchini Burundi linaonesha wasiwasi juu ya hali ya maisha ya kabila la Batwa ambao ni kabila dogo lililosahaulika na kuwekwa pembezoni katika umaskini wa kukithiri. Kabila hili linahesbika kuwa wazaliwa wa kwanza katika msitu wa kanda,lakini wakiwakilisha asilimia moja ya watu

 

 

Askofu Mkuu Filipe Neri Ferrao wa Jimbo la Goa na Daman nchini India ametoa barua yake ya kichungaji 2018-2019 kuhusu mapambano dhidi ya umaskini

Askofu Mkuu Filipe Neri Ferrao wa Jimbo la Goa na Daman nchini India ametoa barua yake ya kichungaji 2018-2019 kuhusu mapambano dhidi ya umaskini

Barua ya Kichungaji ya Askofu Mkuu wa Goa kuhusu tatizo la umaskini !

06/06/2018 15:19

Tatizo la umaskini na sura zake zote ndiyo mtazamo msingi wa barua ya kichungaji  2018-2019 ya Askofu Mkuu Filipe Neri Ferrao wa Jimbo kuu la Goa na Daman nchini India ambako waraka unatafuta jinsi gani ya kuweza kutoa suluhisho la umaskini na sura zake kama vile kiuchumi,kihisia na kiroho

 

 

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika waraka wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika Ujumbe wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Ujumbe wa Mei Mosi wa Baraza la Maaskofu Italia kuhusu hadhi ya Mtu!

12/04/2018 16:30

Hadhi ya mtu haiwezi kuwa na maana ya kubadilishwa kama fedha, badala yake ni kujumuishwa katika ule mzunguko wa umoja kwa upande wa haki na uwezo ambao ni suala nyeti la kila jamii.Ni uthibitisho kutoka katika Ujumbe wa Tume ya Maaskofu Italia kwa tukio la sikukuu ya Mei Mosi 2018

 

 

Vitendo vya  Mafia ni tabia inayofumbatwa katika uchu wa mali na fedha, unaogeuza utu na heshima ya binadamu kuwa kama bidhaa sokoni.

Vitendo vya Mafia ni tabia inayofumbatwa katika uchu wa mali na fedha; vinavyogeuza utu na heshima ya binadamu kuwa kama bidhaa sokoni.

Papa Francisko na mchakato wa mapambano dhidi ya vitendo vya Mafia

21/09/2017 15:13

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kimsingi vitendo vya Mafia ni tabia inayofumbatwa katika uchu wa mali na fedha; kwa kugeuza utu na heshima ya binadamu kuwa kama bidhaa sokoni. Kumbe, kuna haja ya kusimama kidete kupinga vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na kikundi cha Mafia!