Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

umaskini

Umaskini na ufukara vina mfungamano na masuala ya kiroho na kisiasa. Ni muhimu kuvumbua mbinu za pamoja ili kutokomeza hali hii

Umaskini na ufukara vina mfungamano na masuala ya kiroho na kisiasa. Ni muhimu kuvumbua mbinu za pamoja ili kutokomeza hali hii

Siku ya Kupambana na Umaskini:"Njia ya kuelekea jamii zenye amani na umoja"

18/10/2017 09:49

Kila ifikapo tarehe 17 Oktoba ni Siku ya Kimataifa ya Kupambana na umaskini duniani ambapo takwimu za mwaka jana 2016 inakadiriwa watu bilioni moja wanaishi katika umaskini uliokithiri huku wengine zaidi ya milioni 800 wakikabiliwa na njaa.Mataifa 10 kutoka barani Afrika yanashika nafasi ya chini

 

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, ustawi, mafao na maendeleo ya wengi!

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Diplomasia ya Kanisa inajikita katika amani, ustawi na mafao ya wengi

28/07/2017 14:55

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, diplomasia ya Kanisa inajikita katika misingi ya haki, amani, maridhiano, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Kanisa linataka kujenga na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi ili kukuza uhuru wa kuabudu na tunu msingi za maisha!

Viongozi wa kidini wanapaswa kushirikiana, kuwajibika na kushikamana katika kupambana na umaskini ili kudumisha amani.

Viongozi wa kidini wanapaswa kushirikiana na kushikamana ili kuwajibika katika kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Wito: viongozi wa kidini wanapaswa kushikamana na kuwajibika

21/07/2017 17:14

Jumuiya ya Kimataifa inasema, viongozi wa kidini wanayo dhamana kubwa sana katika ustawi, maendeleo na mafao ya wengi; wanapaswa kushikamana na kuwajibika katika mchakato mzima wa udumishaji wa misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu kwa kukazia kanuni maadili na utu wema!

Sera na mikakati ya kupambana na baa la njaa pamoja na utapiamlo wa kutisha duniani.

Sera na mikakati ya kupmbana na baa la njaa pamoja na utapiamlo wa kutisha duniani.

Vatican: Sera na mikakati ya kupambana na baa la njaa duniani

18/07/2017 15:22

Baa la njaa na utapiamlo wa kutisha miongoni mwa watoto watoto wadogo ni changamoto kubwa inayochangiwa na athari za mabadiliko ya tabiachi, ukame na mafuriko ya kutisha; matetemeko na maporomoko ya ardhi; vita, kinzani na mipasuko ya kijamii pamoja na ukosefu wa mshikamano kimataifa!

Dr. Joachim von Braun ameteuliwa kuwa Rais wa Taasisi za Kipapa za Sayansi.

Dr. Joachim von Braun ameteuliwa kuwa Rais mpya wa Taasisi za Kipapa za Sayansi.

Dr. Joachim von Braun ateuliwa kuwa Rais wa Taasisi za Kipapa!

26/06/2017 15:25

Dr. Joachim von Braun ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Rais Mpya wa Taasisi za Kipapa za Sayansi. Ni kiongozi aliyebobea katika mchakato wa mapambano dhidi ya umaskini duniani; balaa la njaa, sera za mabadiliko chanya ya kisayansi na teknolojia kama chombo cha huduma!

Papa akutana na kuzungumza na Mfalme Wille Alexander na Malkia Màxima.

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Mfalme Wille Alexander na Malkia Màxima.

Papa Francisko asema, kuna haja ya kujikita katika ujenzi wa amani

22/06/2017 17:39

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kujielekeza zaidi katika ujenzi na uimarishaji wa misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu, hasa zaidi katika maeneo ambayo yameathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii na kisiasa. 

Umaskini, baa la njaa duniani, vitendo vya kigaidi na athari za mabadiliko ya tabia nchi ni changamoto pevu kwa Jumuiya ya Kimataifa!

Umaskini, baa la njaa duniani, vitendo vya kigaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya changamoto pevu zaidi duniani.

Mapambano dhidi ya umaskini, njaa, ugaidi na mabadiliko ya tabianchi

17/06/2017 16:53

Umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa kujizatiti zaidi katika mapambano dhidi ya baa la njaa na umaskini; vitendo vya kigaidi na uthibiti wa athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya mambo msingi yalaiyojadiliwa kati ya Papa Francisko na Bi Angela Merkel wa Ujerumani, walipokutana mjini Vatican..

Ukosefu wa fursa za ajira unapelekea vijana wengi kuzikimbia nchi zao ili kutafuta maisha bora zaidi!

Ukosefu wa fursa za ajira unapelekea vijana wengi kuzikimbia nchi zao ili kutafuta fursa bora zaidi za maisha.

Ajira bado ni kizungumkuti duniani, waathirika zaidi ni vijana!

14/06/2017 07:47

Askofu mkuu Ivan Jurkovic, Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mjini Geneva anasema, ukosefu wa fursa za ajira unapelekea vijana wa kizazi kipya kukata tamaa ya maisha kiasi cha kujikuta wanajiingiza kwenye mchakato wa kutafuta fursa bora zaidi za maisha!