Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ulinzi wa watoto wadogo

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto hasa wale wanaoishi katika mazingira ya vita na machafuko ya kisiasa.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto wanaoishi katika mazingira ya vita na machafuko ya kisiasa.

Mbinu mkakati wa kuwalinda watoto kwenye maeneo ya vita na kinzani

10/07/2018 15:09

Askofu mkuu Bernardito Auza anasema, Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda haki msingi za watoto wanaoishi katika maeneo ya vita kwa kuwawajibisha kisheria wale wote wanaowapeleka mstari wa mbele na kwenye mifumo ya utumwa mamboleo, kwa kuwaingiza katika jamii na kuwapatia elimu makini.

Papa Francisko akutana na kuzungumza na Gavana Peter Cosgrove wa Jumuiya ya Madola nchini Australia.

Papa Francisko akutana na kuzungumza na Gavana Peter Cosgrove wa Jumuiya ya Madola nchini Australia.

Gavana Peter Cosgrove akutana na Papa Francisko mjini Vatican

26/06/2018 09:41

Changamoto ya wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani sanjari na athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya mambo yaliyojadiliwa kati ya Papa Francisko na Bwana Peter Cosgrove, Gavana mkuu wa Jumuiya ya Madola Nchini Australia walipokutana mjini Vatican, tarehe 25 Juni 2018.