Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ulinzi wa raia katika maeneo ya vita

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi wa watoto

Askofu Mkuu Markos Gebremedhin, amesema wafuasi wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda watoto, wakati wa uzinduzi wa Siasa za utetezi na ulinzi wa watoto nchini Ethiopia

Maaskofu Ethiopia: Mungu ametoa jukumu kwa wafuasi kulinda watoto !

07/06/2018 14:06

Mwakilishi wa Kitume huko Jimma Bonga nchini Ethiopia, Askofu Mkuu Markos Gebremedhin,(CM) wakati wa uzinduzi rasmi wa Siasa ya utetezi na ulinzi wa watoto kwa upande wa Kanisa Katoliki amesema, wafuasi wote wa Kristo wamepewa jukumu la kulinda na kusaidia makuzi ya watoto katika dunia 

 

Jamh. ya Afrika ya Kati ya walalamikia Kikosi cha kulinda Amani kutokujali maisha ya watu.

Jamh. ya Afrika ya Kati ya walalamikia Kikosi cha kulinda Amani kutokujali maisha ya watu.

Jamh. Afrika ya Kati walalamikia Kikosi cha kulinda amani cha UM

29/08/2017 11:25

Padre Jean-Alain Zembi paroko wa Kanisa la Mtakatifu Yohane mbatizaji huko Zemo,mpakani na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,ameelezea juu ya Kikosi cha kulinda usalama cha Umoja wa Mataifa kutokujali watu katika ulinzi na wao pia kuhusika na vifo vya watu wengi nchi ya Afrika ya Kati.