Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ukweli na uwazi

Viongozi wa katoliki na wa madhehubu mengine nchini Myanmar wamehitimisha jukwaa lao kuhusu dini ya amani hivi karibuni

Viongozi wa katoliki na wa madhehubu mengine nchini Myanmar wamehitimisha jukwaa lao kuhusu dini ya amani hivi karibuni

Viongozi wa dini nchini Myanmar wamemaliza Jukwaa kuhusu dini ya amani !

08/06/2018 12:32

Wakati endelevu nchini Myanmar umesimamia  juu ya utajiri wa historia na utamaduni wa kuishi  pamoja madhehebu na tamaduni nyingi. Katika ngazi ya kina inatoa ahadi ya wakati endelevu kwa uhakika wa thamani na fadhila ya huruma, ustawi wa kushirikishana na haki iliyopo katika utamaduni 

 

Hofu ya Papa Francisko kwa Kanisa la Italia: Uhaba wa miito, ukosefu wa ushuhuda wa ufukara wa Kiinjili na wingi wa majimbo ya Kanisa Katoliki.

Hofu ya Papa Francisko kwa Kanisa Katoliki nchini Italia: Kupungua kwa miito ya maisha ya kipadre na kitawa; ukosefu wa ushuhuda wa ufukara wa Kiinjili pamoja na wingi wa majimbo yanayopaswa kupunguzwa kwa kuunganishwa.

Hofu kuu ni: Miito, Ufukara wa Kiinjili na Wingi wa Majimbo, Italia

22/05/2018 10:30

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia amesikika akisema kwamba, hofu yake kubwa ni kupungua kwa miito ya maisha ya kipadre na kitawa Italia, ukosefu wa ushuhuda wa ufukara wa Kiinjili na wingi wa majimbo nchini Italia!

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji kwa wote!

Ukusanyaji wa kodi ya uchaguzi mkuu nchini Burundi kwa mwaka 2020 uzingatie misingi ya ukweli, uwazi na uwajibikaji wa wote.

Maaskofu Burundi: Ukweli na uwazi katika fedha ya uchaguzi mkuu

16/04/2018 11:28

Baraza la maaskofu Katoliki Burundi linasema, mchakato wa uchaguzi mkuu ni zoezi muhimu sana katika kukuza na kudumisha uhuru wa wananchi na demokrasia, lakini linapaswa kuendeshwa katika misingi ya ukweli na uwazi mintarafu kodi ya uchaguzi mkuu kwa mwaka 2020.