Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ukuu na Utakatifu wa Mungu

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani!

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani.

Chuchumilieni utakatifu kama kielelezo cha maisha na utume wenu!

17/10/2017 10:10

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayobubujika kutoka katika fumbo la maisha na utume wa Kristo Yesu, aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu! Utakatifu wa maisha liwe ni lengo kuuu katika safari ya mwamini hapa duniani! Changamoto endelevu!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza sauti yake, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata Njia ya Msalaba!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza kwa makini sauti ya Yesu, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata njia ya Msalaba kama kielelezo cha utukufu na ukuu wa Mungu katika hali ya unyenyekevu.

Waamini mnaitwa kuwa mashuhuda wa utukufu na ukuu wa Mungu!

04/08/2017 16:03

Sherehe ya kugeuka Sura kwa Bwana Yesu Kristo ni uthibitisho wa Mafumbo ya imani; ushuhuda uliotolewa kwa namna ya pekee na Sheria, inayowakilishwa na Musa pamoja na Manabii, wanaowakilishwa na Eliya juu ya Yesu. Sherehe hii inadokeza umuhimu wa ushuhuda wa utakatifu na ukamilifu wa maisha!