Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ukimya

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, daima wakiwa waaminifu kwa Kristo Yesu!

Kuutafuta Uso wa Mungu ni Waraka wa Papa Francisko kwa Wamonaki, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo.

Changamoto ya maisha ya kitawa katika kuutafuta Uso wa Mungu!

01/02/2018 06:58

Baba Mtakatifu Francisko katika Katiba ya Kitume "Vultum Dei Quaerere", yaani "Kuutafuta Uso wa Mungu anabainisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na wamonaki katika maisha na utume wao, ili kuweza kukabiliana na changamoto mamboleo, tayari kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shiri

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuwadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shirika hilo

Ongozweni na unyenyekevu, ukimya na mifano bora ya maisha!

20/04/2017 16:55

Mama Maria ndiye anasindikiza lengo hili,kwa karibu atazidisha miito ili kuchangia kuunda ubinadamu mpya kutoka kwa walio athirika,walio baguliwa na kukosa upendo.Huu ndiyo wakati endelevu tunao uota ndoto na wala siyo udanganyifu;Ujenzi huo uanze lei hii kusema ndiyo mapenzi yako Mungu yatimie

 

Mwanzilishi mkuu wa Shirika Charles de Foucauld akiwa na Mgdaleine wa Yesu ameandika tafakari nyingi za kiroho kuonesha upendo mkubwa wa Yesu

Mwanzilishi mkuu wa Shirika Charles de Foucauld akiwa na Mgdaleine wa Yesu ameandika tafakari nyingi za kiroho kuonesha upendo mkubwa wa Yesu aliokuwa nao ambao ni urithi kwa waamini wengi

Dada wadogo wa Yesu wameancha utume baada ya miaka 60 Afghanstan

29/03/2017 15:21

Hawa ni watawa walio itikia wito kujibu upendo wa Mungu kwa kumfuasa Kristo katika kuiishi Injili ya Roho ya Betlehemu na Nazaret.Ni roho iliyo jikita katika ukimya wa kujitoa,sala ,urafiki na matendo kwa kukumbatia ulimwengu.Kwa miaka 60 nchini Afghanistan wamekuwa ndugu wa karibu na watu

 

Ukimya ni muhimu sana katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa ili kumwachia Mungu nafasi aweze kuwagusa waja wake kwa neema na baraka zake.

Ukimya ni muhimu sana katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa, ili kutoa nafasi kwa Mwenyezi Mungu kuweza kuwagusa waja wake kwa neema na baraka zake.

Umuhimu wa ukimya katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa!

06/11/2016 07:24

Ukimya ni sehemu ya Liturujia ya Kanisa unaomwezesha mwamini kupata utulivu na amani ya ndani; ni fursa kwa mwamini kumwachia Mungu moyo, akili na mawazo yake ili aweze kuyagusa kwa neema, baraka na upendo wake, tayari kumshuhudia katika uhalisia wa maisha baada ya kuonja upendo huo!

Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo 2015

Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo: Changamoto ni kutunza Injili ya Uhai na Mazingira.

Ijumaa kuu: Msalaba ni dira na njia inayoelekea Pasaka ya Bwana!

05/04/2015 08:23

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya maadhimisho ya Ibada ya Njia ya Msalaba kuzunguka Magofu ya Colosseo yaliyoko mjini Roma, alihitimisha kwa tafakari fupi iliyowakumbusha waamini kwamba, Msalaba ni dira na njia kuelekea katika maadhimisho ya Fumbo la Pasaka.