Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ukarimu wa Kiinjili

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassettti: Ulaya bado ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

11/07/2018 16:58

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Mtakatifu Benedikto Abate anasema, umefika wakati kwa Bara la Ulaya kugundua tena fadhila ya matumaini, kwa kumweka mwanadamu kuwa ni kiini cha taasisi zake. Kardinali Bassetti anakaza kusema, Ulaya ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Tarehe 2 Juni 2018 Papa Francisko amekutana na wanachama cha kupambana na ugonjwa wa misuli nchini Italia

Tarehe 2 Juni 2018 Papa Francisko amekutana na wanachama cha kupambana na ugonjwa wa misuli nchini Italia

Papa akutana na Wanachama wa Kupambana na Ugonjwa wa Misuli Italia

04/06/2018 14:11

Tarehe 2 Mei 2018, Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wajumbe wa Chama cha Umoja wa Italia cha  kupambana na ugonjwa wa misuli ambapo amewakaribisha kwa furaha na kumshukuru Mwenyekiti wa Muungano wa chama hicho kwa hotuba yake kwa niaba yao na kazi yao makini!

 

Ukarimu wa Mungu haina mipaka kwa binadamu, unapaswa kusambazwa kwa wote!

Ukarimu wa Mwenyezi Mungu haina mipaka kwa binadamu na unapaswa kusambazwa kwa wote!

Shirikishaneni ukarimu wa Mungu na jirani; acheni roho ya korosho!

22/09/2017 17:17

Kiini cha Liturujia ya neno la Mungu, Jumapili ya XXV ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa ni ukarimu wa Mungu usiokuwa na mipaka, unaopaswa kusambazwa kwa jirani kama ushuhuda wa imani tendaji! Ukarimu uguse mahitaji msingi ya jirani kwa kutambua kwamba, daima Mungu ni mkarimu!

Fadhila ya ukarimu inaweza kujaribiwa na kutikiswa kutokana ukosefu wa uaminifu na uadilifu wa watu!

Fadhila ya ukarimu inaweza kujaribiwa hata kuingia mchanga kutokana watu kukengeuka na na kutopea katika maadili na utu wema.

Dumisheni moyo wa upendo na ukarimu!

01/07/2017 17:20

Fadhila ya ukarimu, upendo na mshikamano ni utambulisho wa Wakristo katika maisha na utume wao! Hii ni fadhila ambayo imejaribiwa sana kutokana na baadhi ya watu kukengeuka na hatimaye kutumia ukarimu na fadhila za jirani zao kwa ajili ya masilahi yao binafsi, kumbe kuna haja ya kuwa makini zaidi.

Onesheni ukarimu na upendo kwani ni sehemu ya maisha na utume wa Kanisa!

Onesheni ukarimu na upendo kwani ni sehemu ya maisha na utume wa Kanisa!

Onesheni ukarimu ili kujenga Ufalme wa Mungu!

30/06/2017 09:57

Wakristo wanakumbushwa kwamba, kwa njia ya Sakramenti ya Ubatizo wanashiriki kikamilifu katika: ukuhani, unabii na ufalme wa Kristo! Kumbe, wanapaswa kuhakikisha kwamba, wanatumia utajiri, karama na mapaji yao kwa ajili ya kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa Ufalme wa Mungu!

 

Ukarimu ni sehemu ya utambulisho wa Kikristo unaojenga umoja na udugu.

Ukarimu ni sehemu ya utambulisho wa Kikristo unaojenga umoja, udugu na mshikamano.

Ukarimu ni utambulisho wa Kikristo unaoimarisha udugu!

30/06/2017 08:26

Ukarimu ni fadhila inayomwilisha ile kanuni ya dhahabu: Kile unachotaka kutendewa na watu, jitahidi hata wewe kuwatendea wengine! Hii ndiyo amri mpya yaani upendo kwa Mungu na jirani. Upendo huu kamwe usiwe na unafiki, bali lijikite katika matumaini, furaha, upole na ukarimu!