Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ukanda wa Amazonia

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa ahimiza upyaisho kiinjili katika matendo ya kimisionari !

01/06/2018 16:04

Tarehe 1 Juni 2018 Baba Mtakatifu Francisko, amekutana na wakurugenzi wa Shughuli za Kipapa za Kimisionari mjini Vatican na kuwakaribisha kwa furaha katika tukio la Mkutano Mkuu na hasa kushukuru hotuba ya utangulizi wa Kardinali Filoni,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu 

 

Sinodi ya Maaskofu kuhusu Amazoni ni lazima kutafuta mbinu za kuweza kuinjilisha vema watu wa asili pamoja na utetezi wa mazingira yao ikiwemo misitu

Sinodi ya Maaskofu kuhusu Amazoni ni lazima kutafuta mbinu za kuweza kuinjilisha vema watu wa asili pamoja na utetezi wa mazingira yao ikiwemo misitu yao.

Sinodi ya Maaskofu 2019 lazima ipate ufumbuzi wa Uinjilishaji Amazonia

07/05/2018 13:51

Kwa mujibu wa Askofu Jose Lisboa de Oliveira msimamizi wa kitume wa Itacoatiara, huko Amzoni  Brazil aliyefika kwa mara ya kwanza Julai 2017 akihojiwa juu ya utume wake anasema, yuko anajaribu kuanza kuijua hali halisi ya Amazoni. Anathibitisha na kuonesha changamoto za uinjilishaji wake

 

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji katika ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji kwa ajili ya ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia 2019 ni mbinu mkakati wa uchungaji

30/04/2018 07:54

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni kwa mwaka 2019 yanapania kuibua mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji zinazofumbatwa katika: uinjilishaji na utamadunisho; ekolojia na utunzaji bora wa mazingira; utu, haki msingi za binadamu na mendeleo endelevu.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yaanza kushika kasi!

13/04/2018 15:23

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itakayofanyika mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa ajili ya ekolojia endelevu" yameanza kutimua vumbi mjini Vatican kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko!

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia kwa mwaka 2019 itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Amazonia: Njia mpya ya Kanisa kwa ajili ya ekolojia endelevu

09/04/2018 14:50

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kujikita katika masuala ya haki, amani na mshikamano; utume na huduma ya upendo, ili kuhakikisha kwamba, Injili ya Kristo inatamadunishwa katika uhalisia wa maisha ya wananchi wa Amazonia, ili Kanisa liweze kupaya sura mpya ya watu wa Amazonia!