Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ujumbe wa Siku ya Wagonjwa Duniani 2018

Jengeni na kudumisha huruma na upendo wa kimama katika huduma kwa wagonjwa na maskini duniani!

Jengeni na kudumisha huruma na upendo wa kimama kwa wagonjwa na maskini duniani.

Mwilisheni upendo wa kimama katika huduma kwa wagonjwa na maskini

15/02/2018 07:44

Mama Kanisa anawataka waamini, wanafamilia na wahudumu katika sekta ya afya kujenga na kudumisha ndani mwao huruma na upendo wa kimama kwa ajili ya wagonjwa wanaokutana nao kama sehemu ya dhamana na utume wao kwa jamii na kwamba, huu ni ushuhuda wa Injili ya matumaini!

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika tiba na huduma!

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kujizatiti katika kulinda na kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika huduma, tiba na tafiti mbali mbali.

Waonjesheni wagonjwa: huruma, upendo, utu na heshima!

10/02/2018 07:49

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya XXVI ya Wagonjwa Duniani kwa Mwaka 2018 anawalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanatoa kipaumbele kwa utu, heshima na mahitaji msingi ya wagonjwa, kielelezo cha huruma ya Mungu.

Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na hivyo kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama watoto wapendwa wa Mungu.

Kristo Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na kuwaombea ili kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama binadamu.

Yesu anapambana na hali ya wagonjwa ili kuwarejeshea utu na heshima!

09/02/2018 17:23

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya VI ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inajikita zaidi katika huduma ya uponyaji inayofanywa na Kristo Yesu kwa njia ya maneno na matendo yake, ili kuwahudumia wale waliotengwa na jamii na hivyo kuwapatia tena hadhi na utu wao kama watoto wa Mungu!

Hatari za mashirika binafsi zinaweza kuhepukwa na kushinda kuwa na inguvu zaidi iwapo inaweza kutambua kuweka kiini cha maisha ya binadamu

Hatari za mashirika binafsi zinaweza kuhepukwa na kushinda kuwa na inguvu zaidi iwapo inaweza kutambua kuweka kiini cha maisha ya binadamu

Kard.Bassetti:Kanisa ni mstari wa mbele kumsindikiza mgonjwa hatua zote!

12/12/2017 15:46

Kuhusiana na mashirika binafsi ambayo Baba Mtakatifu anataja katika Ujumbe wa Siku ya Wagonjwa duniani 2018, Kardinali Bassetti anasema,hatari ya mashirika binafsi inaweza kuhepukwa na kushinda kuwa na inguvu zaidi iwapo inaweza kutambua kuweka kiini cha maisha ya binadamu.

 

 

Katika Ujumbe wa Siku ya Wagonjwa Duniani 2018, Papa anasema hatuwezi kusahau huruma na uvumilivu ambao familia nyingi hufuatilia watoto wao

Katika Ujumbe wa Siku ya Wagonjwa Duniani 2018, Papa anasema hatuwezi kusahau huruma na uvumilivu ambao familia nyingi hufuatilia watoto wao

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 26 ya Wagonjwa Duniani 2018

11/12/2017 15:56

Mater ecclesiae Mama wa Kanisa Tazama huyo ndiye mwanao,tazama huyo ndiye mama yako.Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.Ndiyo Kauli mbiu ya Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 26 ya Wagonjwa Duniani 2018,uliotolewa 11 Dsemba 2017 Vatican