Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ujumbe wa Siku 52 ya Upashanaji Habari, 2018

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbingu: Ukuu, nguvu na utukufu & Kanisa Sakramenti ya Wokovu

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni: Ukuu, nguvu na utukufu wa Kristo & Kanisa Sakramenti ya Wokovu.

Ninyi ni mashuhuda wa Kristo Mfufuka, vyombo vya huruma na upendo!

14/05/2018 10:50

Katika Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni, Kanisa linatangaza ukuu, nguvu na utukufu wa Kristo Mfufuka anayepaa mbinguni kwa sauti ya baragamu na kelele za shangwe! Pili, Kanisa linatumwa kuwa ni Sakramenti ya wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu.

Amani ndiyo habari ya kweli inayomlenga mtu mzima: ili kumjengea uwezo wa kusikiliza na kujadiliana katika ukweli na uwazi.

Papa Frabcisko anasema, amani ndiyo habari ya kweli inayomlenga mtu mzima ili kumjengea uwezo wa kusikilizana na kujadiliana katika ukweli na uwazi, kwa kuvutwa na wema na uzuri ili kuwajibika barabara.

Papa Francisko anasema, amani ndiyo habari yenyewe! Idumisheni!

12/05/2018 17:17

Baba Mtakatifu Francisko anasema wadau katika tasnia ya mawasiliano ya jamii wanao wajibu na utume mzito wa kulinda ukweli wa habari kwa kutambua kwamba, mlengwa mkuu ni binadamu mwenyewe. Habari iguse maisha ya watu, idumishe wema na uaminifu, ili kufungua njia ya umoja na amani.

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni.

Sherehe ya Bwana Kupaa Mbinguni!

10/05/2018 15:23

Mama Kanisa anasadiki na kufundisha kwamba, Yesu alipaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi, atarudi kuwahukumu wazima na wafu na wala ufalme wake hautakuwa na mwisho: Ubinadamu wa Yesu unamficha mbele ya macho ya watu. Yesu amewatangulia waja wake katika Ufalme wa utukufu

Tarehe 3 Mei 2018 Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya habari Duniani.

Tarehe 3 Mei 2018 Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani.

Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani 2018

03/05/2018 11:05

Jumuiya ya Kimataifa tarehe 3 Mei 2018 inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Byombo vya Habari Duniani sanjari na kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa siku hii kunako mwaka 1993. Mwaka 2018 Umoja wa Mataifa unakumbuka pia miaka 70 ya Tamko la Haki Msingi za Binadamu.

Bara la Afrika linapaswa kuwekeza zaidi katika rasilimali fedha na watu kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano ya jamii.

Bara la Afrika linapaswa kuwekeza zaidi katika rasilimali fedha na watu kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano kwa kukazia ukweli na amani duniani.

Bara la Afrika na changamoto ya teknolojia ya mawasiliano ya jamii!

16/03/2018 08:22

Baba Mtakatifu Francisko katika mchakato mzima wa mabadiliko katika Sekretarieti kuu ya Vatican anapenda kuliangalia Bara la Afrika kwa jicho la upendeleo hususan katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ya mawasiliano ya jamii, ili Kanisa liendelee kuwa kweli ni sauti ya kinabii duniani!