Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ujumbe wa Pasaka: Urbi et Orbi

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali ya kisiasa na kijamii nchini DRC!

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali tete ya kisiasa na kijamii nchini DRC.

Papa Francisko anaendelea kufuatilia kwa karibu hali tete nchini DRC

14/04/2018 16:31

Baba Mtakatifu Francisko kwa nyakati mbali mbali ameonesha masikitiko makubwa pamoja na kuguswa na hali tete ya wananchi wa DRC wanaoendelea kuteseka kutokana na vita pamoja na mpasuko wa kisiasa na kijamii. Vatican inaiomba Jumuiya ya Kimataifa kusimamia mchakato wa uchaguzi DRC.

Papa Francisko katika mahubiri yake Sherehe ya Pasaka amekazia: Mbiu ya Pasaka; Haraka ya kutangaza Fumbo la Pasaka na Mshangao wa Mungu!

Papa Francisko katika mahubiri yake kwenye Sherehe ya Pasaka amekazia kuhusu mbiu ya Fumbo la Pasaka lililowafanya watu wakaondoka kwa haraka na hatimaye, kushangazwa kwa matendo makuu ya Mungu katika maisha ya waja wake!

Papa Francisko: Tangazeni Fumbo la Pasaka kwa haraka na mshangao!

03/04/2018 08:22

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Fumbo la Pasaka ni kiini cha imani na maisha ya Kanisa. Mariamu Magdalene alienda mbio kwa haraka ili kushuhudia Fumbo la Ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu! Petro, Yohane na Mitume wengine, wakaona na kushangazwa na matendo makuu ya Mungu kwa waja wake!

Papa Francisko katika Ujumbe wake wa Pasaka kwa Mwaka 2018: Amani, Majadiliano, Upatanisho, Faraja, Matumaini, Utu na Heshima ya binadamu.

Papa Francisko katika Ujumbe wake wa Pasaka kwa Mwaka 2018: Urbi et Orbi anakazia: Amani, Haki, Majadiliano, Upatanisho, Faraja, Utu na Heshima ya binadamu.

Ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa Pasaka 2018: "Urbi et Orbi"

01/04/2018 12:30

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake wa Pasaka kwa mwaka 2018 anawaombea watu waliokata tamaa matumaini; amani kwa wale wanaoogelea katika vita, kinzani na mipasuko ya kijamii; upatanisho, majadiliano, faraja kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi duniani!