Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ujumbe Siku ya Kuombea Amani Duniani 2016

Biashara ya binadamu  inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa,  hutoa faida kubwa sana kwa waalifu.

Biashara ya binadamu inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa, hutoa faida kubwa sana kwa wahalifu.

Biashara haramu ya binadamu inaongezeka kwasababu ya kutojali

13/09/2017 16:53

Askofu Mkuu  Ivan Jurkovič  Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswis,ametoa hotuba yake katika kikao cha 36 Cha Baraza la Haki za Binadamu tarehe 12 Septemba 2016 Ni kikao ambacho kinazingatia sababu na matokeo ya uhalifu mkubwa kupindukia

 

Tarehe  Mosi Januari 2016 Kanisa linaadhimisha Siku ya 49 ya Kuombea Amani Duniani.

Tarehe Mosi Januari 2016 Kanisa linaadhimisha Siku ya 49 ya Kuombea Amani Duniani.

Onesheni furaha mnapokutana na Huruma ya Mungu!

01/01/2016 14:01

Mwenyezi Mungu anaendelea kupandikiza mbegu ya amani katika akili na mioyo ya watu, mbegu inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa na binadamu, changamoto katika maisha ya kiroho ili kushinda adui wa amani ambaye ni ile hali ya kutojali wala kuguswa na mahangaiko ya watu wengine!

Amani inajengwa kwa kuambata: utu, heshima, haki, upendo na mshikamano wa kweli!

Amani ya kweli inajengwa kwa kuambata: utu, heshima, haki, upendo, huruma na mshikamano wa kweli!

Amani ya kweli inafumbatwa katika huruma, upendo na mshikamano wa dhati!

16/12/2015 09:08

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa maadhimisho ya Siku ya 49 ya Kuombea Amani Duniani kwa Mwaka 2016 anapenda kuwahamasisha wakuu wa Jumuiya ya Kimataifa kuonesha huruma, upendo na mshikamano kwa maskini, wafungwa, wagonjwa, wakimbizi na watu wasiokuwa na ajira.

 

Shinda kutojali, ambata amani ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya Kuombea Amani Duniani 2016

Shinda kutojali, ambata amani ndiyo kauli mbiu ya Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 49 ya kuombea amani dunia kwa mwaka 2016.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 49 ya Kuombea Amani Duniani 2016

16/12/2015 08:11

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu sanjari na Maadhimisho ya Siku ya 49 ya Kuombea Amani Duniani anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga na kudumisha utamaduni wa mshikamano na huruma ya Mungu.