Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ujasiri

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa anatafakari juu ya Roho wa hekima na maarifa, roho wa shauri na nguvu, roho wa ujuzi na ya kumcha Bwana.

Papa:Tukubali unyenyekevu na kudhalilishwa ili kufanana na Yesu!

05/12/2017 15:59

Unyenyekevu ni kipawa muhimu cha maisha ya mkristo.Ni maneno ya msisitizo wa Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake,siku ya Jumanne 5 Desemba 2017 katika Kikanisa cha Mtakatifu Marta mjini Vatican.Kila mkristo ni kichupikizi kidogo mahali pa kutua Roho Mtakatifu wa Bwana 

 

Ibada na mazoea ya  kuabudu mashetani imezidi kuenea hasa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ambapo uwashirikisha idadi kubwa ya vijana

Ibada na mazoea ya kuabudu mashetani imezidi kuenea hasa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ambapo uwashirikisha idadi kubwa ya watu wenye umri mdogo hasa vijana na hivyo shetani yupo hata kama wengi hawakubaliani .

Shetani yupo ulimwenguni anazunguka japokuwa amefungwa mnyororo!

09/05/2017 14:25

Kardinali Amato wakati wa hotuba yake katika Kozi kuhusu kupungua pepo na maombi ya uponyaji,amethibitisha kuwa hakuna siri yoyote ya nne ya Fatima inayosadikika na watu wengi kwamba imefichika,na kwamba kuna maafa ya kutisha kwa ajili ya Kanisa.Hakuna siri zaidi kwani kila kitu ni wazi kwa umma 

 

Jubilei ya wasanii wa mitaani imekuwa ni nafasi ya kushirikisha taaluma, imani, matumaini na mapendo yao kwa Kristo na Kanisa lake.

Jubilei ya wasanii wa mitaani imekuwa ni fursa kwa wasanii hawa kushiriki imani, matumaini na mapendo yao kwa Kristo na Kanisa lake.

Wasanii wa mitaani wafunika ile mbaya mjini Vatican!

16/06/2016 14:47

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa ni nafasi kwa wasanii wa mitaani kutoka sehemu mbali mbali za dunia kushirikisha furaha, weledi na kazi yao kwa maskini na watu wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii, wakati wa kuimarisha imani na mapendo.

Mkristo anakabiliana na magumu kwa imani, matumaini na mapendo

Baba Mtakatifu Francisko anabainisha kwamba, Mkristo anakabiliana na magumu na changamoto za maisha kwa imani, matumaini na mapendo.

Jikiteni katika imani, matumaini na mapendo ili kukabiliana na magumu!

05/05/2015 11:27

Baba Mtakatifu katika mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha, Jumanne, tarehe 5 Mei 2015 anasema kwamba, Mkristo si mtu anayekimbia matatizo na changamoto za maisha, bali anakabiliana nazo kwa imani, matumaini na mapendo.