Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uhuru wa kidini

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Askofu Mkuu IvanJurkovic anasema, kutokana na athari zinazojitokeza za dini, uchaguzi na mazoezi ya imani ya mtu lazima iwe huru bila vikwazo au kutum

Askofu Mkuu IvanJurkovic anasema, kutokana na athari zinazojitokeza za dini, uchaguzi na mazoezi ya imani ya mtu lazima iwe huru bila vikwazo au kutumia nguvu.

Uhuru wa dini ni haki kwa kila binadamu kuabudu bila vikwazo!

09/03/2017 16:53

Tunaishi wote duniani kwa kile kinachoitwa utandawazi wa dhana ya teknolojia ambayo kwa uangalifu wake inalenga juu ya mshikamano au mwelekeo mmoja na inataka kuondokana na tofauti zote za mila na desturi katika jitihada za umoja wa juu juu tu. Hivyo dini inayo wajibu wa kuweka wazi....

 

 

Diplomasia ya Vatican inajikita katika: Umoja na mshikamano wa kimataifa; utamaduni wa majadiliano katika ukweli na haki pamoja na ujenzi wa amani!

Diplomasia ya Vatican inajikita katika: umoja na ushirikiano wa kimataifa katika kipambana na changamoto mbali mbali za maisha; ujenzi wa utamaduni wa majadiliano katika ukweli na uwazi pamoja na ujenzi wa utamaduni wa amani inayofumbatwa katika haki msingi binadamu!

Papa Francisko anakazia diplomasia na ushirikiano wa kimataifa!

20/01/2017 10:39

vatican katika sera na mikakati yake ya kidiplomasia na ushirikiano wa kimataifa inajikita katika mchakato wa majadiliano katika ukweli na uwazi; ushirikiano na mshikamano wa kimataifa; kujenga, kukuza na kudumisha utamaduni wa amani unaosimikwa kwa kuaminiana na kuthaminiana pasi na woga!

Papa Francisko: amani ya kweli inafumbatwa katika mshikamano, majadiliano, ushirikiano, utu, heshima ya binadamu na maendeleo endelevu!

Papa Francisko: amani ya kweli inafumbatwa katika mshikamano, majadiliano, ushirikiano, utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi: kiroho na kimwili.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Vatican

09/01/2017 11:50

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa Mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amepembua kwa kina na mapana kuhusu dhana ya amani na usalama unaofumbatwa katika utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi, Amani ni zawadi kwa binadamu wote.

Misimamo mikali ya kidini na kiimani ni hatari sana kwa mafungamano ya kijamii Barani Asia.

Misimamo mikali ya kidini na kiimani ni hatari na sumu kali katika mafungamano ya kijamii Barani Asia anasema, Kardinali Charles Maung Bo.

Misimamo mikali ya kidini ni sumu kwa mafungamano ya kijamii

30/12/2016 11:13

Kanisa linapenda kuwahimiza waamini wa dini mbali mbali duniani kujikita katika mchakato wa majadiliano ya kidini ili kujenga, kudumisha na kukuza misingi ya haki, amani, maridhiano pamoja na uhuru wa kuabudu! Misimamo mikali ya kidini ni hatari na sumu kwa mafungamano ya kijamii duniani!

Kwa baadhi ya nchi uhuru wa kuabudu bado ni ndoto

Kwa baadhi ya nchi duniani uhuru wa kuabudu bado ni ndoto, uhuru unaopaswa kuwa dhahiri

Taarifa ya Uhuru wa Kuabudu Duniani

22/11/2016 15:14

Taasisi ya Kipapa kwa ajili ya Makanisa Hitaji imetoa taarifa ya 13 juu ya uhuru wa kuabudu duniani, ikionesha kwamba mataifa 38 kati ya 192 yaliyofanyiwa uchunguzi, yamo kwenye hali mbaya zaidi, Korea ya Kaskazini ikiongoza kwa kuwabania jumuiya za waamini wa dini zote

 

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mjini Lagos wameruhusiwa kuvaa hijab darasani.

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mjini Lagos wameruhusiwa kuvaa hijab darasani.

Ruksa kuvaa hijabu darasani!

08/08/2016 09:45

Wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi sekondari mjini Lagos, nchini Nigeria wameruhusiwa na Mahakama kuu ya rufaa nchini humo kuanza kuvaa hijabu hata wakiwa darasani, kielelezo cha imani yao, jambo ambalo linaonekana kwa baadhi ya wachunguzi wa mambo ni kwenda kinyume cha uhuru wa kidini.

 

Monsinyo Gàbor Pinter amewekwa wakfu kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Bielorussia.

Monsinyo Gàbor Pinter amewekwa wakfu kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Bielorussia.

Monsinyo Gàbor Pintèr awekwa wakfu kuwa Askofu mkuu

16/07/2016 15:57

Monsinyo Gàbr Pintèr aliyeteuliwa hivi karibuni na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Bielorussia amewekwa wakfu kuwa Askofu mkuu katika Ibada ya Misa takatifu iliongozwa na Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican huko Hungaria.