Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uhuru wa kidhamiri

Waamini wanaalikwa kumpatia Kaisari haki yake na Mungu utukufu, sifa na shukrani!

Waamini wanaalikwa kumpatia Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu apewe: utukufu, sifa na shukrani.

Jamani! Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari na Mungu apewe haki yake!

20/10/2017 08:15

Mama Kanisa anaadhimisha Siku ya Kimisionari Duniani inayoongozwa na kauli mbiu "Utume ni kiini cha imani ya Kikristo". Kila Mkristo anaalikwa kutekeleza dhamana na wajibu wake wa kimisionari sanjari na kuhakikisha kwamba, Kaisari anapewa yaliyo yake na Mungu anapewa sifa, utukufu na heshima!

Papa Francisko amekutana na kuzungmza na rais Donald Trump wa Marekani mjini Vatican tarehe 24 Mei 2017

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 24 Mei 2017.

Rais Donald Trump akutana uso kwa uso na Papa Francisko!

24/05/2017 14:04

Baba Mtakatifu Francisko amemzawadia Rais Donald Trump wa Marekani Nyaraka zake za kitume: Furaha ya upendo ndani ya familia; Furaha ya Injili na Sifa iwe kwako juu ya utunzaji wa nyumba ya wote pamoja na medali ya tawi la mzeituni, linalomkumbusha dhamana ya amani duniani!