Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uhalifu dhidi ubinadamu

Papa Francisko: Uongozi bora na makini katika vikosi vya ulinzi na usalama, wanasiasa na mihimili ya uinjilishaji ni muhimu katika kupambana na utumwa

Papa Francisko: uongozi bora na makini katika vikosi vya ulinzi na usalama, miongoni mwa wanasiasa na mihimili ya uinjilishaji ni muhimu sana katika mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo.

Papa Francisko: Uongozi bora ni dawa ya mchunguti dhidi ya utumwa!

09/02/2018 15:44

Baba Mtakatifu Francisko anasema, uongozi bora na makini katika vikosi vya ulinzi na usalama; miongoni mwa wanasiasa pamoja na mihimili ya uinjilishaji ni muhimu sana katika kupambana na janga la biashara ya binadamu na utumwa mamboleo unaofumbatwa katika biashara ya ngono na kazi za suluba!

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuungana ili kutokomeza biashara ya binadamu na utumwa mamboleo.

Papa Francisko anawataka waamini pamoja na watu wenye mapenzi mema kuunganisha nguvu ili kutokomeza biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo unaonyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Siku ya Kupambana na biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo

07/02/2018 16:12

Baba Mtakatifu Francisko anasema, tarehe 8 Februari, Kumbu kumbu ya Mtakatifu Josefina Bhakita, Mama Kanisa anaadhimisha pia Siku ya Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu na Utumwa mamboleo unaoendelea kunyanyasa na kudhalilisha utu na heshima ya binadamu hasa kwa nyakti hizi!

Watu 26 wa Kanisa la Kibatisti waliuwawa wakati wa kisali na 20 kujeruhiwa huko Texas Marekani Jumapili 5 Novemba

Watu 26 wa Kanisa la Kibatisti waliuwawa wakati wa kisali na 20 kujeruhiwa huko Texas Marekani Jumapili 5 Novemba

Papa ametuma Telegram ya salam za Rambi rambi kwa Kanisa la kibatisti Texas

08/11/2017 16:07

Baba Mtakatifu Francisko ametumatelegram iliyosainiwa na Katibu wa Vatican Pietro Parolin na kuielekeza kwa Askofu Mkuu G García-Siller huko Mtakatifu Antony Texas Marekani akionesha masikitiko na uchungu mkubwa kwa ajili ya habari za mashambulizi ya Kanisa la Kibatisti kwa risasi

 

 

Biashara ya binadamu  inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa,  hutoa faida kubwa sana kwa waalifu.

Biashara ya binadamu inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa, hutoa faida kubwa sana kwa wahalifu.

Biashara haramu ya binadamu inaongezeka kwasababu ya kutojali

13/09/2017 16:53

Askofu Mkuu  Ivan Jurkovič  Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswis,ametoa hotuba yake katika kikao cha 36 Cha Baraza la Haki za Binadamu tarehe 12 Septemba 2016 Ni kikao ambacho kinazingatia sababu na matokeo ya uhalifu mkubwa kupindukia