Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ufufuko kutoka kwa wafu

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, mapendo na matumaini ya binadamu wote!

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, matumaini na mapendo kwa binadanu wote!

Paulo alikuwa mtesi wa Kanisa akageuka kuwa mtangazaji wa habari njema

19/04/2017 15:54

Aliyekuwa mtesi wa Kanisa anageuka kuwa mtume, ni kwasababu gani?,yeye amemuona Yesu mzima, amemwona Yesu mfufuka.Hiyo ndiyo msingi wa imani ya Paulo,kama vile imani ya mitume wengine na kama ilivyo imani ya Kanisa  na  kama ilivyo imani yetu.Yesu amefufuka ni mzima

 

Bikira Maria ni shuhuda wa kimya kikuu cha Fumbo la Pasaka!

Bikira Maria ni shuhuda wa kimya kikuu cha Fumbo la Pasaka!

Tuwe ishara ya Kristo Mfufuka katika ulimwengu wenye matatizo!

17/04/2017 16:50

Baba Mtakatifu amesema ujumbe wa Malaika tuusikie kuwa unatualika hata sisi moja kwa moja, kufanya haraka kwenda kutangaza kwa wanaume na wanawake wa nyakati zetu,ujumbe wa furaha na matumaini ni kwasababu baada ya machweo siku ya tatu msulibiwa amefufuka

 

Ufufuko wa wafu na maisha ya uzima wa milele ni sehemu ya Kanuni ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Ufufuko wa wafu na maisha ya uzima wa milele ni sehemu ya Kanisa ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Imani ya Kanisa katika Ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo!

15/04/2017 14:05

Padre Reginald Mrosso leo anajitaabisha kidogo kutufafanulia ukweli kuhusu Fumbo la Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu, kiini cha imani ya Kanisa. Ufufko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu kadiri ya Maandiko Matakatifu ni ushuhuda wa imani ya Wakristo wa kwanza inayoendelea hadi leo hii!

 

Kardinali Filoni anaitaka familia ya Mungu nchini Malawi kukuza na kudumisha mafungamano na mshikamano wao na Kristo Yesu, ili kuwa mashuhuda wa Yesu.

Kardinali Filoni anaitaka familia ya Mungu nchini Malawi kushikamana na kufungamana na Kristo yesu ili iweze kuwa chombo na shuhuda wa imani na matumaini.

Familia ya Mungu nchini Malawi, kiteni maisha yenu kwa Yesu!

07/11/2016 15:13

Kardinali Fernando Filoni anaitaka familia ya Mungu nchini Malawi kujenga na kudumisha mshikamano na mafungamano yao na Kristo Yesu ili yawawezeshe kuwa ni vyombo na mashuhuda wa furaha na amani, chachu msingi ya kukabiliana na magumu pamoja na changamoto za maisha duniani!

Karoli Lwanga aliwatakia ndugu zake heri na baraka ya kuonana mbinguni wakati akijongea kwenye mateso yake!

Mtakatifu Karoliki Lwanga aliwatakia ndugu zake heri na baraka ya kuonana mbinguni wakati alipokua anaelekea kwenye mateso yake kule Namgongo, Uganda.

Kwa herini, tuonane mbinguni!

06/11/2016 08:25

Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu, umeleta maana na mwelekeo mpya wa kuliangalia Fumbo la kifo katika maisha ya mwanadamu hapa duniani. Imani katika ufufuko wa wafu na maisha ya uzima wa milele ni matumaini hata ya mashuhuda wa imani kama akina Karoli Lwanga na wenzake!

 

Siku ya Marehemu wote!

Siku ya Marehemu wote!

Siku ya kuwaombea Marehemu wote!

31/10/2015 11:55

Kila mwaka ifikapo tarehe 2 Novemba, Mama Kanisa anasali kwa ajili ya kuwakumbuka na kuwaombea Marehemu wote, ili waweze kupata utakaso na hatimaye kuingia katika uzima wa milele.

Siku ya Marehemu wote!

Siku ya Marehemu wote!

Utukufu wa Mungu ni mwanadamu aliye hai!

31/10/2015 10:50

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 2 Novemba anaadhimisha Siku ya Marehemu wote kwa kuwaombea ili waweze kupata fursa ya kushiriki maisha ya uzima wa milele. Mwezi Novemba ni kipindi cha kuwakumbuka na kuwaombea marehemu wetu.

 

Papa Francisko: Sala ya Malkia wa Mbingu

Baba Mtakatifu Francisko akiongoza Sala ya Malkia wa Mbingu, Jumatatu tarehe 6 Aprili 2015.

Breaking News: Yesu amefufuka kweli kweli Alleluiya!

06/04/2015 10:20

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malkia wa Mbingu amewaambia mahujai waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican kwamba, Kanisa tangu mwanzo linatangaza Ufufuko wa Kristo kwa shangwe kuu.