Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ufisadi

maisha ya watu wa Venezuela yako hatarini kutokana na sera mbovu za kisiasa

maisha ya watu wa Venezuela yako hatarini kutokana na misingi mibovu ya sera za kisiasa

Maaskofu wa Venezuela wameitaka serikali kuinua hali za maisha ya watu!

15/01/2018 16:16

Wakati hitimisho la Mkutano wa mwaka wa Baraza la Maaskofu wa Venezuela hukoCaracas,Maaskofu wametoa wito wa nguvu na kutangaza ujumbe huo kwa umma wakiwa wanatoa ushauri,lakini pia kushutumu vikali sera za kisiasa za serikali ambayo imesababisha nchi kuingia katika kipeo cha uchumi 

 

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuimarisha familia ya Mungu katika umoja wa matumaini!

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuiimarisha familia ya Mungu nchini humo katika umoja wa matumaini.

Papa Francisko nchini Perù: cheche ya "Umoja wa matumaini" kwa wenyeji

12/01/2018 07:39

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Perù ni kutaka kuitia shime familia ya Mungu nchini humo kupambana na changamoto zake kwa mshikamano unaofumbatwa katika "Umoja wa matumaini": uchafuzi wa mazingira; rushwa na ufisadi ni kati ya saratani kubwa nchini Perù.

Kama mkristo kweli hepukana na ulaghai na kufanya ufisadi, maana ulaghai unaolezwa katika Injili ya leo, hata miongoni mwa wakristo wapo wanaofanya

Kama mkristo kweli hepukana na ulaghai na kufanya ufisadi, maana ulaghai unaolezwa katika Injili ya leo, hata miongoni mwa wakristo wapo wanaofanya hivyo hivyo kila siku!

Papa:Kama mkristo kweli hepukana na ulaghai na kufanya ufisadi!

10/11/2017 15:28

Ni historia ya ufisadi wa kila siku,inayoelezwa katika Injili ya Mtakatifu Luka akionesha tajiri aliyekuwa na wakili wake akatapanya mali zake na baada ya kugunduliwa,badala ya kutafuta kazi ya halali, anaendelea kuiba kwa kutumia ujanja kwa wengine.Baba Mtakatifu anasema,huo ndiyo ufisadi !

 

Askofu Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar anawahimiza watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika juhudi zake za kupambana na rushwa na ufisadi.

Askofu Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar anawahimiza watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika jitihada zake za kupambana na rushwa, ufisadi, kwa kulinda rasilimali ya nchi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Askofu Shao: Watanzania ungeni mkono juhudi za Rais Magufuli!

16/10/2017 08:52

Hatua zinazochukuliwa kwa wakati huu na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania katika kupambana na: rushwa na ufisadi wa mali ya umma; kulinda na kusimamia rasilimali ya nchi ili iweze kuleta mafao, ustawi na maendeleo ya wengi ni mambo msingi yanayopaswa kuungwa mkono na watanzania wote!

Wanafunzi wametakiwa kujenga nidhamu kwa kudumisha, utu na heshima yao wasikubali kumezwa na malimwengu!

Wanafunzi wametakiwa kujenga nidhamu, utu na heshima yao na kamwe wasikubali kumezwa na malimwengu, kwani maisha bora na maendeleo endelevu hayapatikani kwa njia za mkato!

Wanafunzi dumisheni utu na heshima yenu, msikubali kuchezewa!

15/05/2017 15:03

Professa Rwekaza Mukandal, Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, Tanzania amewataka wanafunzi wanaohitimu masomo yao ya kidato cha sita kwa wakati huu, kuwa makini, kamwe wasikubali kumezwa na malimwengu, bali watunze na kudumisha: nidhamu, utu na heshima yao!

Baraza la Maaskofu Katoliki Ghana linaitaka familia ya Mungu nchini humo kuwa ni chombo cha haki, amani na upatanisho.

Baraza la maaskofu Katoliki Ghana linaitaka familia ya Mungu nchini humo kuwa ni chombo cha haki, amani na upatanisho katika ngazi mbali mbali.

Maaskofu Katoliki Ghana: Iweni mabalozi wa haki, amani na upatanisho!

18/04/2017 12:18

Baraza la Maaskofu Katoliki Ghana katika ujumbe wake kwa maadhimisho ya Siku kuu ya Pasaka linaitaka familia nzima ya watu wa Mungu nchini Ghana kuhakikisha kwamba, inakuwa ni shuhuda na mjumbe wa haki, amani, upatanisho nchini humo, katika ngazi mbali mbali kama ushuhuda wa imani!

Pasaka ni ushindi dhidi ya dhambi na mauti ni mwanzo wa amani na fuiraha ya binadamu.

Pasaka ni ushindi dhidi ya dhambi na ni mwanzo mpya wa amani na furaha ya binadamu.

Kristo Mfufuka ni mwanzo wa amani na furaha kwa mwanadamu!

17/04/2017 14:20

Askofu Augustine Shao wa Jimbo Katoliki Zanzibar katika ujumbe wa Pasaka kwa mwaka 2017 anasema, Pasaka ya Bwana ni ushindi dhidi ya dhambi na mauti; ni mwanzo wa amani na furaha ya kweli ya binadamu; ni nguvu ya wanyonge; chemchemi ya matumaini na furaha kwa wote pamoja na kuwajibika!

Mkesha wa Pasaka ni mama wa mikesha yote ambao umesheheni utajiri wa mafumbao, maisha na utume wa Kanisa!

Mkesha wa Pasaka ni mama wa mikesha yote unaofumbata: mafumbo, maisha na utume wa Kanisa!

Papa Francisko: Kristo Mfufuka ni chemchemi ya matumaini mapya!

16/04/2017 15:03

Baba Mtakatifu Francisko ameongoza Mkesha wa Pasaka unaofumbata utajiri mkubwa wa maisha na utume wa Kanisa kwa njia ya alama mbali mbali! Amewabatiza wakatekumeni kumi na mmoja na kuwaimarisha kwa Sakramenti ya Kipaimara! Yesu Mfufuka ni chemchemi ya matumaini mapya kwa watu!