Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ufalme wa Mungu: Haki, Upendo na Amani

Papa Francisko asema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu na sura yake ambayo ni ushuhuda wa unyenyekevu.

Papa Francisko asema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu na unafumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika hali ya unyenyekevu.

Papa Francisko: Mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini na sura yake

16/07/2018 09:43

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Jumapili ya XV ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa amesema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu na sura yake ni unyenyekevu unaofumbatwa katika ushuhuda!

Papa Francisko ameyataka Makanisa Barani Afrika kushikamana kwa ajili ya kutangaza na kushuhudia Injili katika uhalisia wa maisha ya watu wao.

Papa Francisko ameyataka Makanisa Barani Afrika kushikamana kutangaza na kushuhudia Injili katika uhalisia wa maisha ya watu wao.

Papa Francisko: Makanisa Barani Afrika shikamaneni kwa dhati!

23/06/2018 16:21

Baba Mtakatifu Francisko amewaambia wajumbe wa Muungano wa Makanisa Huru Barani Afrika kushikamana ili kutangaza na kushuhudia Injili inayomwilishwa katika uhalisia wa maisha na vipaumbele vya watu, kwa kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za binadamu, umoja na upendo.

Kristo Yesu ni nahodha shupavu wa Kanisa lake, licha ya mawimbi mazito, lakini daima liko mikononi mwa kiongozi makini!

Kristo Yesu ni nahodha shupavu wa Kanisa lake, hata pale linapokumbana na dhoruba kali, bado liko mikononi mwa kiongozi makini.

Wekezeni matumaini yenu kwa Mungu! Inalipa!

19/06/2018 15:52

Imani ni fadhila ya kimungu ambayo kwayo tunamsadiki Mungu na kila kitu alichokisema na anachotufunulia, na ambacho Kanisa takatifu latutaka tukisadiki, kwa sababu Yeye ndiye ukweli wenyewe! Licha ya dhoruba mbali mbali zinazolikumba Kanisa, lakini bado linasonga mbele! Kristo ni nahodha!

 

Kristo Yesu kwa njia ya mahubiri na matendo yake, alitangaza na kushuhudia ufalme wa Mungu hapa duniani!

Kristo Yesu kwa njia ya mahubiri na matendo yake, alitangaza na kushuhudia uwepo wa Ufalme wa Mungu na kuupanda hapa duniani.

Papa: Katika magumu na giza la maisha, ndio wakati wa kukamatia imani!

18/06/2018 09:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Ufalme wa Mungu unaendelea kukua na kupanuka duniani kama fumbo linalowashangaza watu wengi pamoja na kuendelea kufunua nguvu yake iliyojificha katika mbegu ndogo; lakini inaonesha ile nguvu yake ya ushindi kama ilivyokuwa kwa Kristo Yesu!

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameanzisha Ufalme wa Mungu hapa duniani.

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameanzisha Ufalme wa Mungu hapa duniani na wote wanaalikwa kushiriki kikamilifu.

Ufalme wa Mungu unapata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka!

16/06/2018 06:30

Kristo Yesu kwa kutimiza mapenzi ya Baba yake wa mbinguni, ameanzisha duniani ufalme wa mbinguni. Sasa mapenzi ya Baba, ni kuinua watu wamzunguke, Mwanawe, Kristo Yesu. Kusanyiko hilo ni Kanisahapa duniani, mbegu na mwanzo wa Ufalme wa Mungu. Wote wanaitwa kuingia katika ufalme wa Mungu.

Ufalme wa Mungu hukua polepole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

Ufalme wa Mungu hukua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake, kila mwamini anaalikwa kushiriki katika ujenzi wake.

Ufalme wa Mungu: Unakua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

15/06/2018 08:09

Mwenyezi Mungu anawaalika waja wake kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani. Ufalme hukua pole pole lakini uzaa matunda kwa wakati wake. Jambo la msingi ni kila mwamini kushiriki kikamilifu kuujenga!

 

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!