Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ufalme wa Mungu

Kristo Yesu kwa njia ya mahubiri na matendo yake, alitangaza na kushuhudia ufalme wa Mungu hapa duniani!

Kristo Yesu kwa njia ya mahubiri na matendo yake, alitangaza na kushuhudia uwepo wa Ufalme wa Mungu na kuupanda hapa duniani.

Papa: Katika magumu na giza la maisha, ndio wakati wa kukamatia imani!

18/06/2018 09:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Ufalme wa Mungu unaendelea kukua na kupanuka duniani kama fumbo linalowashangaza watu wengi pamoja na kuendelea kufunua nguvu yake iliyojificha katika mbegu ndogo; lakini inaonesha ile nguvu yake ya ushindi kama ilivyokuwa kwa Kristo Yesu!

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameanzisha Ufalme wa Mungu hapa duniani.

Kwa njia ya Fumbo la Msalaba, Kristo Yesu ameanzisha Ufalme wa Mungu hapa duniani na wote wanaalikwa kushiriki kikamilifu.

Ufalme wa Mungu unapata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka!

16/06/2018 06:30

Kristo Yesu kwa kutimiza mapenzi ya Baba yake wa mbinguni, ameanzisha duniani ufalme wa mbinguni. Sasa mapenzi ya Baba, ni kuinua watu wamzunguke, Mwanawe, Kristo Yesu. Kusanyiko hilo ni Kanisahapa duniani, mbegu na mwanzo wa Ufalme wa Mungu. Wote wanaitwa kuingia katika ufalme wa Mungu.

Ufalme wa Mungu hukua polepole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

Ufalme wa Mungu hukua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake, kila mwamini anaalikwa kushiriki katika ujenzi wake.

Ufalme wa Mungu: Unakua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

15/06/2018 08:09

Mwenyezi Mungu anawaalika waja wake kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani. Ufalme hukua pole pole lakini uzaa matunda kwa wakati wake. Jambo la msingi ni kila mwamini kushiriki kikamilifu kuujenga!

 

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo!

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo.

Askofu mkuu Kivuva Musonde: Ekaristi ni Sakramenti ya haki na amani

02/06/2018 14:00

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa anasema, Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo kati ya watu wa Mataifa. Kumbe, waamini wanaposhiriki kikamilifu katika mafumbo haya wanatumwa kuwa wajenzi wa Ufalme wa Mungu katika: haki, amani, umoja na udugu!

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni inawaachia wakristo wajibu wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni inawachia Wakristo wajibu na dhamana ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia.

Leo mnatumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

11/05/2018 16:11

Ee Mungu Mwenyezi, utufanye tuwe na furaha takatifu na shukrani; kwa maana kupaa kwake Kristo Yesu, Mwanaoni mfano wetu; na huko alikotangulia yeye kichwa chetu, ndiko tunakotumaini kufika sisi tulio mwili wake. Leo ubinadamu wetu umetukuzwa mbinguni!

Yesu alipaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi.

Yesu alipaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi.

Kristo Yesu akishakuinuliwa juu, atawavuta wote kwake!

10/05/2018 16:31

Kristo Yesu peke yake ndiye aliyetoka kwa Baba na anaweza kurudi tena kwa Baba. Hakuna mtu aliyepaa mbinguni ile Yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani Mwana wa mtu! Ubinadamu ukiachiwa katika nguvu zake za maumbile hauwezi kufika kwenye nyumba ya Baba, kwenye uzima na furaha ya milele!

 

Kristo amefufuka kutoka wafu. Kwa kifo chake ameshinda mauti. Wafu amewapa uzima.

Kristo amefufuka kutoka wafu. Kwa kifo chake ameshinda mauti. Wafu amewapa uzima.

Fumbo la Pasaka ni kiini cha imani, matumaini na furaha ya kweli!

31/03/2018 13:01

Mama Kanisa anafundisha kwamba, Ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu ni kilele cha ukweli wa imani ya Kanisa katika Kristo, ambayo jamii ya kwanza ya Wakristo iliusadiki na kuuishi kama kiini cha ukweli. Hili ni Fumbo ambalo limetangazwa na kushuhudiwa na wengi kwa kuambata Msalaba wa Kristo!