Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uekumene wa sala

Papa Francisko mjumbe na shuhuda wa amani anatembelea nchini Misri kuanzia tarehe 28 - 29 Aprili 2017

Papa Francisko mjumbe na shahidi wa amani anatembelea nchini Misri kuanzia tarehe 28- 29 Aprili 2017 ili kuwaimarisha ndugu zake katika imani, kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini pamoja na kuendeleza majadiliano ya kiekumene.

Papa Francisko mjumbe wa amani nchini Misri

25/04/2017 15:00

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Misri inalenga kwanza kabisa kuwaimarisha ndugu zake katika imani, mapendo na matumaini tayari kumshuhudia Kristo na Kanisa lake. Pili ni kukuza na majadiliano ya kidini na Waislam na tatu na kuendeleza uekumene wa damu na Wakristo!

Wakristo kwa Mwaka 2017 wameadhimisha kwa pamoja Fumbo la Pasaka, mwaliko ni kudumisha uekumene wa huduma kwa maskini na wanaoteseka!

Wakristo kwa mwaka 2017 wameadhimisha Pasaka ya Bwana kwa pamoja changamoto na mwaliko wa kuendelea kutangaza na kushuhudia Fumbo la Pasaka, yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kwa wafu!

Kipindi cha Pasaka ni muda muafaka wa kuimarisha Uekumene wa huduma

19/04/2017 08:39

Askofu mkuu Justin Welby, Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kianglikani anawaalika Wakristo sehemu mbali mbali za dunia kuonesha mshikamano wa pekee katika kujenga na kudumisha uekumene wa sala, maisha ya kiroho; uekumene wa damu, lakini zaidi uekumene wa huduma kwa maskini ushuhuda wa kweli.

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha, imani, matumaini na mapendo thabiti!

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha, imani na mapendo thabiti.

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha na matumaini ya kweli!

17/04/2017 13:47

Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox anasema, Fumbo la Pasaka ni chemchemi ya furaha na matumaini kwa watu wanaoteseka kutokana na sababu mbali mbali dunianiM; mwaliko kwa waamini na watu wenye mapenzi mema kushirikamana kwa dhati na wale wanaoteseka duniani.

Wakristo wanahamasishwa kuchangia kwa hali na mali huduma msingi kwa wakristo wanaoishi kwenye Nchi Takatifu.

Wakristo sehemu mbai mbali za dunia wanahamasishwa kuchangia kwa haki na mali ili kusaidia kuwasha moto wa matumaini kwa Wakristo wanaoishi katika Nchi takatifu.

Mchango wa Ijumaa kuu unapania kuwasha moto wa matumaini!

14/04/2017 16:23

Wakristo sehemu mbali mbali za dunia wanaalikwa kuchangia kwa hali na mali ili kusaidia kuwasha moto wa matumaini kwa Wakristo wanaoishi huko Mashariki ya kati; kwa njia ya sala, lakini pia kwa mchango ili kusaidia kugharimia huduma mbali mbali na pale inapowezekana kufanya hija Nchi Takatifu.

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri inapania kuimarisha majadiliano ya kiekumene na kidini!

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri kuanzia tarehe 28- 29 Aprili 2017 inapania kuimarisha majadiliano ya kidini na kiekumene nchini humo.

Mshikamano wa Papa Francisko na familia ya Mungu nchini Misri!

12/04/2017 10:22

Hija ya kitume ya baba Mtakatifu Francisko nchini Misri inakazia kwa namna ya pekee mchakato wa uekumene unaofumbatwa katika: sala na maisha ya kiroho; katika damu na huduma"; inapania kukuza na kudumisha majadiliano ya kidini na waamini wa dini ya Kiislam ili kudumisha misingi ya haki na amani.

Papa Francisko anawataka Wakristo kumwomba Mungu zawadi ya kusamehe, upatanisho na umoja!

Papa Francisko anawataka Wakristo kumwomba Mwenyezi Mungu ili awajalie zawadi ya kusamehe, upatanisho na umoja.

Papa Francisko: Wakristo ombeni zawadi ya upatanisho na umoja!

31/03/2017 14:17

Baba Mtakatifu anawahamasisha Wakristo kuondokana na maamuzi mbele dhidi ya imani ya wengine wanaokiri na kuabudu kwa mitindo na lugha tofauti; wawe tayari kusamehe makosa yaliyotendwa na wazee wao waliotangulia ili hatimaye kumwomba Mungu zawadi ya upatanisho na umoja!

Kwa mara ya kwanza waamini wa Kanisa Anglikani wamesali masifu ya jioni kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican tarehe 13 Machi 2017.

Kwa mara ya kwanza katika historia waamini wa Kanisa Anglikani wamesali Masifu ya jioni kwa heshima ya Mtakatifu Gregory mkuu kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Waanglikani wasali masifu ya jioni kwenye Kanisa kuu la Mt. Petro!

14/03/2017 09:48

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kanisa Katoliki, waamini wa Kanisa Anglikani, Jumatatu tarehe 13 Machi 2017 wamepata nafasi ya kusali Masifu ya Jioni kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro kama njia ya kumuenzi Mtakatifu Gregory mkuu aliyekita katika Uinjilishaji na Uekumene wa huduma.

Papa Francisko na Askofu mkuu Justin Welby wana mpango wa kutembelea Sudan ya Kusini ili kujionea mateso na mahangaiko ya watu hawa!

Papa Francisko na Askofu mkuu Justin Welby wana mapngo wa kutembelea kwa pamoja Sudan ya Kusini ili kuwarafiji wananchi hawa ambao wanaendelea kuteseka kwa vita, njaa na magonjwa.

Papa Francisko na Askofu mkuu Justin Welby kutembelea Sudan ya Kusini

27/02/2017 13:33

Baba Mtakatifu Francisko anasema, majadiliano ya kiekumene yanatekelezwa kwa kufanya kazi na kutembea kwa pamoja katika huduma na ushuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake. Panapo majaliwa, Papa Francisko na Askofu mkuu Welby wa Kanisa Anglikani watatembelea Sudan ya Kusini!