Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uekumene wa huduma

Baraza la Makanisa Ulimwenguni kwa mwaka 2018 linaadhimisha Jubilei ya Miaka 70 tangu kuanzishwa kwake.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni kwa mwaka 2018 linaadhimisha Jubilei ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwake.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni: Jubilei ya Miaka 70 katika huduma!

03/03/2018 09:31

Baraza la Makanisa Ulimwenguni lilianzishwa kunako mwaka 1948 na kwa sasa linayaunganisha Makanisa zaidi ya 200, ili kufanya hija ya pamoja katika huduma ya haki, amani; utu na heshima ya binadamu kama ushuhuda wa maisha na utume wa Kanisa. Papa Francisko kutembelea Geneva, 21 Juni 2018.

Kuanzia tarehe 8 -13 Machi 2018 Baraza la Makanisa Ulimwenguni linafanya mkutano mkuu wa uinjilishaji, Jijini, Arusha, Tanzania.

Kuanzia tarehe 8 -13 Machi 2018 Baraza la Makanisa Ulimwenguni linafanya mkutano mkuu wa uinjilishaji Barani Afrika kwa kuwashirikisha wajumbe kutoka Makanisa sehemu mbali mbali za dunia, lakini kwa namna ya pekee, Makanisa Barani Afrika.

Mkutano mkuu wa uinjilishaji ulimwenguni kufanyika Arusha, Tanzania

01/03/2018 08:44

Baraza la Makanisa  Ulimwenguni kuanzia tarehe 8 - 13 Machi 2018 linafanya mkutano mkuu wa uinjilishaji ulimwenguni huko Jijini Arusha, Tanzania kwa kuongozwa na kauli mbiu "Kutembea katika Roho: tunaitwa kuwa wafuasi wanaobadilika". Makanisa Barani Afrika yanashiriki kwa namna ya pekee sana!

Mchakato wa kiekumene ni kutembea kwa pamoja ili kuweza kufikia umoja wa kweli kama yalivyo matashi ya Bwana wetu Yesu Kristo

Mchakato wa kiekumene ni kutembea kwa pamoja ili kuweza kufikia umoja wa kweli kama yalivyo matashi ya Bwana wetu Yesu Kristo

Kazi kuu ya uekumene ni kutembea hatua kwa hatua pamoja kuelekea umoja!

24/02/2018 10:05

Sisi ni kitu kimoja pamoja na tofauti zetu na si wengi wanaotafuta kuwa wamoja.Ndilo linaitwa Kanisa la wasio kuwa na mwisho na ndiyo changamoto ya uekumene ambao Makanisa ya milenia ya tatu wanakabiliana nayo.Haya ni maneno ya askofu Mkuu Justin Welby wa Canterbury Uingereza

 

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari 2018 lisaidie kuelewa vema matashi ya Yesu Kristo

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari 2018 lisaidie kuelewa vema matashi ya Yesu Kristo

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari:Uekumene ni umisionari!

18/01/2018 09:01

Tafakari ya Kardinali Kurt Koch kuhusu Uekumene kama utume katika Juma la kuombea Umoja wa Wakristo tarehe18-25 Januari.Iwapo Juma la Maombi litasaidia kutambua matashi ya moyo wa Yesu,basi ndiyo utakuwa mchango mkubwa wa maandalizi ya mwezi wa maalumu wa kimisionari 2019!

 

 

Olav F.Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Olav Fykse Tveit amesema, inawezekana kufikia mwaka 2050 nchi ya China ikaongoza kuwa na wakristo wengi zaidi katika ulimwengu

Dk.Tveit amesema nchi ya china itaongoza kwa wingi wa wakristo 2050!

11/01/2018 09:04

Katibu Mkuu wa Baraza la Kiekumene la Makanisa Duniani,Dk.Olav amefanya maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza hilo katika Kanisa la Chongwemen nchini China;mahali ambapo amesema kuwa,kufikia mwaka 2050 nchi ya China inawezakana ikawa nchi yenye wakristo wengi zaidi katika ulimwengu. 

 

Mwaka 2017 umesheheni matukio makubwa ya kiekumene katika: damu, maisha ya kiroho, sala na huduma

Mwaka 2017 umesheheni matulio makubwa ya kiekumene: katika ushuhuda wa damu, maisha ya kiroho, sala na huduma kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Kardinali Kurt Koch: dini na amani vinategemeana na kukamilishana!

03/01/2018 06:54

Kumekuwepo na manaikio makubwa katika mchakato wa majadiliano ya kiekumene yanayosimikwa katika ushuhuda wa damu, maisha ya sala, maisha ya kiroho na huduma makini kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii! Iko siku Wakristo wote wataadhimisha Fumbo la Ekaristi!

Baraza la Makanisa Ulimenguni linawataka waamini kujenga na kudumisha uekumene wa huduma hasa miongoni mwa watoto wadogo ili kuwajengea matumaini!

Baraza la Makanisa Ulimwenguni linawahimiza waamini kujenga na kudumisha uekumene wa huduma hasa miongoni mwa watoto wadogo ili kuwajengea matumaini ya leo na kesho iliyo bora zaidi.

Salam za Noeli kwa 2017 kutoka kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni, WCC

26/12/2017 08:11

Baraza la Makanisa Ulimwenguni katika ujumbe wake wa Noeli kwa Mwaka 2017 linawahamasisha Wakristo pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kudumisha uekumene wa huduma, kwa kusimama kidete kumtangaza na kumshuhudia Kristo Yesu, chemchemi ya haki, amani, upendo na maridhiano!

Jubilei Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Duniani, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika majadiliano ya kiekumene!

Jubilei ya Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Duniani, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika mchakato wa majadiliano ya kiekumene duniani miongoni mwa Makanisa!

Majadiliano ya kiekumene: Umoja, ushuhuda na huduma makini kwa maskini

20/12/2017 11:30

Katika kipindi cha miaka 50 ya Majadiliano ya kiekumene, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika mchakato wa ujenzi wa umoja, upendo, mshikamano na ushuhuda mintarafu mwanga wa Injili, Mapokeo na tunu msingi zinazofumbatwa katika maisha ya Kikristo kama kielelezo cha imani tendaji!