Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uchaguzi Mkuu DRC. 23 Desemba 2018

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali ya kisiasa na kijamii nchini DRC!

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali tete ya kisiasa na kijamii nchini DRC.

Papa Francisko anaendelea kufuatilia kwa karibu hali tete nchini DRC

14/04/2018 16:31

Baba Mtakatifu Francisko kwa nyakati mbali mbali ameonesha masikitiko makubwa pamoja na kuguswa na hali tete ya wananchi wa DRC wanaoendelea kuteseka kutokana na vita pamoja na mpasuko wa kisiasa na kijamii. Vatican inaiomba Jumuiya ya Kimataifa kusimamia mchakato wa uchaguzi DRC.

Vigogo wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wanatarajiwa kukutana na Rais Joseph Kabila wakati wowote kuanzia sasa!

Vigogo wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wanatarajiwa kukutana na Rais Joseph Kabila wa DRC ili kujadili kwa pamoja mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Desemba 2018.

Rais Joseph Kabila kukutana na vigogo wa UN na Umoja wa Afrika

01/03/2018 11:43

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Antonio Guterres pamoja na Kaminishina wa Umoja wa Afrika Bwana Moussa Faki wanatarajiwa kukutana na Rais Joseph Kabila wa DRC kama sehemu ya maandalizi ya mchakato wa uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Desemba 2018.