Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Uchafuzi wa mazingira

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuimarisha familia ya Mungu katika umoja wa matumaini!

Papa Francisko anasema hija yake ya kitume nchini Perù inapania kuiimarisha familia ya Mungu nchini humo katika umoja wa matumaini.

Papa Francisko nchini Perù: cheche ya "Umoja wa matumaini" kwa wenyeji

12/01/2018 07:39

Hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Perù ni kutaka kuitia shime familia ya Mungu nchini humo kupambana na changamoto zake kwa mshikamano unaofumbatwa katika "Umoja wa matumaini": uchafuzi wa mazingira; rushwa na ufisadi ni kati ya saratani kubwa nchini Perù.

Fra Alois asema changamoto zinazotishia amani duniani ni: wimbi kubwa la wakimbizi na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Fra Alois asema changamoto kubwa zinazotishia familia ya binadamu ni wimbo kubwa la wahamiaji na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Vijana wa kiekumene Barani Ulaya "kutinga timu" Madrid, Hispania 2018

03/01/2018 11:14

Jumuiya ya Kiekumene ya Taizè kwa mwaka 2018-2019 imeandaa mikutano mbali mbali ya vijana kutoka Barani Ulaya. Fra Alois anasema, changamoto kubwa katika ulimwengu mamboleo inayotishia amani na familia ya binadamu ni wakimbizi pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Mji wa Yerusalemu ni kati ya miji mikongwe sana duniani, mahali patakatifu pa dini ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislam ni kitovu ya majadiliano ya kidini

Mji wa Yerusalemu ni kati ya miji mikongwe sana duniani, ni mahali patakatifu pa dini ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislam na kwamba, ni kitovu cha majadiliano ya kidini.

Mji wa Yerusalemu ni kitovu cha majadiliano ya kidini na amani duniani

02/01/2018 06:48

Mji wa Yerusalemu ni kati ya miji ya kale duniani; ni mahali patakatifu panapoheshimiwa na kuthaminiwa na dini ya Kiyahudi, Kikristo na Kiislam, kumbe, hiki ni kitovu cha majadiliano ya kidini miongoni mwa waamini wa dini mbali mbali duniani na kamwe Yerusalemu ustumiwe kwa malengo ya kisiasa!

Umoja wa Mataifa: Vita, ghasia na machafuko duniani ni hatari kwa makuzi, usalama na ustawi wa watoto duniani.

Umoja wa Mataifa: Vita, ghasia na machafuko ni hatari sana kwa ukuaji, malezi, ustawi na maendeleo ya watoto sehemu mbali mbali za dunia.

Umoja wa Mataifa: Watoto 800 wameuwawa kikatili kwa mwaka 2016

10/10/2017 13:30

Umoja wa Mataifa unasema, kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kujizatiti zaidi katika utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, kwa kuhakikisha kwamba, watoto wanalelewa na kukua katika mazingira salama na yenye amani na utulivu, ili kupata fursa ya masomo, huduma ya afya, ustawi na maendeleo!

Changamoto mpya za kukabili siku za usoni katika matumizi ya maji na rasilimali zilizomo

Changamoto mpya zitaikabili Familia ya Binadamu siku za karibuni katika matumizi ya bahari na rasilimali zilizomo

Changamoto mpya katika matumizi sahihi ya rasilimali za bahari

07/06/2017 14:48

Kardinali Peter Turkson, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Maendeleo Endelevu ya Binadamu, akiwakilisha ujumbe wa Vatican katika Kikao cha Umoja wa Mataifa kuhusu Matumizi sahihi ya rasilimali za bahari, anaalika kujiandaa kuzikabili changamoto zinazoibuka siku za usoni.

Ardhi ni chombo cha uzalishaji na huduma inapaswa kutunzwa kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Ardhi ni chombo cha uzalishaji na huduma kinachopaswa kutumiwa vyema kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wananchi wote wa Msumbiji!

Wananchi tumieni vyema ardhi kama chombo cha uzalishaji na huduma!

19/05/2017 14:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Msumbiji linaitaka Serikali kuanza kuwa na mwelekeo mpya katika sera na mikakati yake ya kiuchumi ili kuwa na uchumi endelevu, utakaoziangatia utu na heshima ya binadamu; ukweli na uwazi; ustawi na maendeleo ya wananchi wengi wa Msumbiji: kiroho na kimwili!

Kuhusu vita, kinzani na mipasuko ya kijamii kuna haja ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu; kwa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya amani!

Papa Francisko anasema, kuhusu vita, kinzani na mipasuko ya kijamii, kuna haja kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kutangaza na kushuhudia Injili ya amani katika maisha yao pamoj ana kuzamisha mizizi katika utamaduni wa kutotumia nguvu!

Ujumbe wa Papa Francisko wa Siku ya 50 ya Kuombea Amani Duniani 2017

12/12/2016 14:18

Baba Mtakatifu Francisko anasema, tarehe Mosi Januari 2017, kunazinduliwa Baraza Jipya la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ili kulisaidia Kanisa kukuza na kudumisha haki, amani na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote; kwa kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji na wote wanaoteseka.

Maji ni sehemu ya haki msingi za binadamu hivyo vyanzo vya maji safi na salama vinapaswa kutunzwa kwa ajili ya mafao ya wengi.

Maji ni sehemu ya haki msingi za binadamu. Kumbe vyanzo vya maji safi na salama vinapaswa kulindwa na kutunzwa kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wengi.

Utunzaji bora wa vyanzo vya maji ni muhimu kwa amani na usalama wa dunia!

24/11/2016 09:51

Maji ni sehemu ya haki msingi za binadamu inayolandana na zawadi ya maisha. Kuna changamoto kubwa mbele ya Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, inalinda, inatunza na kuendeleza vyanzo vya maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya binadamu na maendeleo ya viwanja duniani.