Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ubaguzi wa rangi

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Marekani: Siku ya sala ya amani Kitaifa katika kupambana na ubaguzi

09/09/2017 10:06

Nchini Marekani tarehe 9 Septemba ni Siku ya kuombea amani Kitaifa.Lengo kubwa la kuanzisha maombi hayo ni kutokana na kutaka kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.Siku ya maombi kitaifa ilianzishwa mwaka jana na aliyekuwa Askofu Mkuu Joseph  Kurtz

 

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha, imani, matumaini na mapendo thabiti!

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha, imani na mapendo thabiti.

Kristo Mfufuka ni chemchemi ya furaha na matumaini ya kweli!

17/04/2017 13:47

Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox anasema, Fumbo la Pasaka ni chemchemi ya furaha na matumaini kwa watu wanaoteseka kutokana na sababu mbali mbali dunianiM; mwaliko kwa waamini na watu wenye mapenzi mema kushirikamana kwa dhati na wale wanaoteseka duniani.

Caritas Internationalis linawataka waamini na watu wote wenye mapenzi mema kuonesha upendo na mshikamano na wakimbizi wanaotafuta hifadhi na usalama

Caritas Internationalis inawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga mshikamano wa upendo pamoja na wakimbizi wanaotafuta, hifadhi, usalama na ustawi wa maisha yao.

Onesheni mshikamano wa upendo kwa wakimbizi na wahamiaji!

17/04/2017 13:25

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga na kushuhudia utamaduni wa upendo na mshikamano kwa wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta hifadhi, usalama na maisha bora zaidi, badala ya kuwawekea ukuta!

Maadhimisho ya Juma kuu yakuze na kudumisha: Injili ya amani, upendo na mshikamano kati ya watu!

Maadhimisjo ya Juma kuu yakuze na kudumisha Injili ya haki, amani, upendo na mshikamano kati ya watu; kwa njia ya toba na wongofu wa ndani!

Biashara haramu ya silaha inaendelea kupandikiza utamaduni wa kifo!

13/04/2017 17:00

Baba Mtakatifu Francisko katika mahojiano maalum na Gazeti la Repubblica linalochapishwa nchini Italia anasema, wakati huu wa maadhimisho ya Juma kuu anapenda kukuza umuhimu wa kutangaza na kushuhudia Injili ya haki na amani; huduma ya upendo na mshikamano; toba na wongofu wa ndani!

Jengeni utamaduni wa amani kwa kukataa kishawishi cha ubaguzi na kulipizana kisasi!

Jengeni utamaduni wa amani kwa kukataa kishawishi cha kutaka kulipizana kisasi!

Rithisheni vijana wa kizazi kipya utamaduni wa haki na amani duniani

10/04/2017 11:17

Baba Mtakatifu Francisko anaitaka familia ya Mungu nchini Marekani na hasa zaidi Jimbo kuu la Chicago kuhakikisha kwamba, inajikita katika kujenga na kudumisha utamaduni wa amani kwa kuondokana na vishawishi vya kutaka kulipizana kisasi, hali ambayo inaendeleza chuki na uhasama kati ya watu.

Kiekumene mjini Bangalore kwa siku tatu, umewapa fursa  kubadilishana uzoefu wa

Mkutano wa Kiekumene mjini Bangalore kwa siku tatu, umewapa fursa kubadilishana uzoefu wa

Wakristo wawe wajasiri na uwezo wa kukemea umasikini na ubaguzi

30/03/2017 16:57

Mwisho wa mkutano katika Kituo cha Kiekumeni cha Kikristo Bangalore nchini India ,kuhusu jukumu la wakristo,wameamua kutoa wito kwa Wakristo wote ya kwamba,wanapaswa kuwa mashuhuda wa misingi ya kiekumeni ambayo inasizingatia haki,ujenzi wa amani na kufundisha uadilifu wa viumbe.

 

 

Papa Francisko anawaalika waamini kuwa kweli ni wasamaria wema kwa kukataa kishawishi cha ubaguzi wa aina yoyote ile!

Papa Francisko anawaalika waamini kukata kishawishi cha kutumbukizwa katika ubaguzi wa rangi na kiuchumi.

Vyama vya kiraia na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi na uchumi

17/02/2017 15:11

Watu walionja sera za ubaguzi wa rangi na kiuchumi wanakutana kuanzia tarehe 16 hadi tarehe 19 Februari 2017 huko Modesto, Calfonia, USA ili kushirikishana na kumegeana historia, mang'amuzi na changamoto walizokutana nazo katika ujenzi wa jamii, ili kuwa kweli ni Wasamaria wema!

Uhuru wa kuabudu ni chachu muhimu katika kukuza na kudumisha haki msingi za binadamu, haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Uhuru wa kuabudu ni chachu muhimu sana katika mchakato wa kukuza na kudumisha haki msingi za binadamu, ukweli na haki; amani na maridhiano kati ya watu!

Uhuru wa kuabudu ni mhimili mkuu wa haki msingi za binadamu!

17/12/2016 09:39

Uhuru wa kuabudu ni chachu muhimu sana katika kukuza na kudumisha haki msingi za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria pamoja na kusaidia mchakato wa kutafuta na kudumisha ukweli, haki, amani na maridhiano kati ya watu sanjari na kuondoa nyanyaso na ubaguzi dhidi ya Wakristo!