Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ubaguzi wa kidini

Askofu Mkuu Jurkovic anasema Mpango wa Kazi kwa jitihada pana za Umoja wa Mataifa pia ni kukomesha ubaguzi wa rangi,imani au dini na  kulinda haki

Askofu Mkuu Jurkovic anasema Mpango wa Kazi kwa jitihada pana za Umoja wa Mataifa pia ni kukomesha ubaguzi wa rangi, imani au dini na kulinda haki za binadamu.

Askofu Mkuu Jurkovic:Heshima ya kila mtu na haki zake lazima zilindwe!

22/03/2018 15:01

Askofu Mkuu Ivan Jurkovič,Mwakilishi wa kudumu wa Vatican  katika Ofisi za Umoja wa Mataifa na Mashirika mengine mjini Geneva ametoa hotuba yake tarehe 21 Machi 2018 ambayo inahusu Programu ya Utendaji ili kuweka na kufikia hatua ya kubeba mzigo sawa na majukumu ya pmoja ya wakimbizi.


 

 

 

Kila Jumatatu ya tatu ya mwezi Januari ya kila mwaka, ni siku ya kukumbuka Mchungaji Martin Luther King Jr

Kila Jumatatu ya tatu ya mwezi Januari ya kila mwaka, ni siku ya kukumbuka Mchungaji Martin Luther King Jr

Bado ni hai kauli ya Martin L.King katika utetezi wa usawa na ubaguzi Marekani!

18/01/2018 09:21

Kila jumatatu ya tatu ya mwezi wa Januari ya kila mwaka,ni Siku ya Kukumbukumbu ya Martin L. King,mtetezi wa haki za raia na usawa wa watu nchini Marekani.Kwa mwaka huu tarehe hiyo imeadhimishwa tarehe 15 Januari 2018.Siku ambayo imekuwa muhimu kutokana na matukio ya sasa Marekani!

 

 

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kauli za Rais Trump dhidi ya watu wa Afrika na Haiti imesababisha maandamamo makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi kwa rais huyo

Kanisa la Marekani linashutumu kauli ya Trump dhidi ya binadamu!

16/01/2018 08:55

Rais Trump ametumia neno lisilostahili dhidi ya Haiti na nchi za Afrika alipouliza swali la ni kwa nini Marekani iwapokee wahamiaji kutoka mataifa ya kimaskini kama Haiti na Afrika.Baraza la Maaskofu Marekani,kama pia viongozi wengi duniani,wanashutumu vikali kauli yake potofu kwa binadamu.

 

 

Matokeo ya Ziara ya Papa nchini Myanmar, serikali ya nchi imetangaza kufanya mkutano wa tatu kwa ajili ya makabila madogomadogo

Matokeo ya Ziara ya Papa nchini Myanmar, serikali ya nchi imetangaza kufanya mkutano wa tatu kwa ajili ya makabila madogomadogo

Matokeo ya Ziara ya Papa Myanmar:Serikali imetangaza Mkutano wa makabila !

30/11/2017 16:41

Kama matokeo ya ziara ya Papa Myanmar,Serikali ya Birmania, imetangaza  kuitisha Mkutano wa tatu na makabila madogomadogo,kama mwendelezo wa juhudi za kusitisha uhasama kati ya serikali na makundi madogomadogo ya kikabila na kidini . Mkutano huo utafanyika mwishoni wa Januari 2018

 

Viongozi wa kidini wanapaswa kushikamana kulinda na kudumisha amani, utu na heshima ya binadamu pasi na ubaguzi.

Viongozi wa kidini wanapaswa kushikamana ili kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na upatanisho kati ya watu wa mataifa. Biashara ya silaha duniani inaendelea kusababisha maafa makubwa kwa watu!

Viongozi wa kidini waunganishe nguvu kujenga na kudumisha amani!

28/04/2017 17:49

Kumekuwepo na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika karne ya ishirini na moja, lakini pia ni kipindi ambacho kimeshuhudia kutoweka kwa misingi ya haki, amani, usalama na maridhiano kati ya watu hasa zaidi kutokana na kukua kwa biashara haramu ya silaha na utepetevu wa imani!