Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tunu msingi za maisha ya ndoa na familia

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia changamoto zinazopaswa kushughulikiwa kwa pamoja!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia kuhusu changamoto zinazopaswa kufanyiwa kazi na Jumuiya ya Kimataifa kwa ushirika.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi mjini Vatican kwa Mwaka 2018

08/01/2018 11:40

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amegusia changamoto na fursa mbali mbali ambazo zinaweza kutumiwa na Jumuiya ya Kimataifa katika kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, udugu na mshikamano wa dhati!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani linalopambwa kwa sala, ushuhuda wa imani, furaha pamoja uvumilivu!

Familia ni Kanisa dogo la nyumbani inayofumbatwa katika: sala, ushuhuda na urithishaji wa imani; upendo, uvumilivu na udumifu!

Familia thabiti inasimikwa katika sala, ushuhuda wa imani na furaha!

30/12/2017 14:03

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga familia zinazosimikwa katika msingi wa sala inayowaunganisha pamoja; kwa kurithisha na kushuhudia imani katika matendo; kwa kufurahi na kutaabikiana wakati wa raha, majonzi na magumu ya maisha

Papa Francisko wakati akirejea kutoka Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko wakati akirejea mjini Vatican kutoka kwenye hija yake ya kitume nchini Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko achonga na waandishi wa habari wakati akirejea Vatican

12/09/2017 09:49

Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea mjini Vatican amepata bahari ya kuzungumza na waandishi wa habari kwa kukazia umuhimu wa kuwapokea na kuwatunza wakibizi na wahamiaji; athari za mabadiliko ya tabianchi za wajibu wa kimaadili; misingi ya haki, amani na upatanisho na utume kwa vijana!

Kardinali Dionigio Tettamanzi alikuwa ni mtetezi wa Injili ya familia.

Kardinali Dionigio Tettamanzi alikuwa ni mtetezi wa Injili ya familia.

Kardinali Dionigi Tettamanzi, alikuwa ni mtetezi wa Injili ya familia

07/08/2017 09:32

Kardinali Dionigi Tettamanzi, Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo kuu la Milano ni kati ya viongozi waliopendwa sana nchini Italia kutokana na sadaka na majitoleo yake hasa kwa kusimama kidete kulindam, kutetea na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia; akajenga na kuimarisha umoja!

Papa Francisko anawashukuru wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa mchango wao kwa familia na wakristo huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko anawashukuru wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia pamoja na kuwasaidia Wakristo huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko awashukuru wajumbe wa "Knights of Columbus"

03/08/2017 15:06

Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru na kuwapongeza wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa kujisadaka kwa ajili ya kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya kijumuiya sanjari na kuwasaidia kwa hali na mali Wakristo wanaoteseka huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko anawataka wanamichezo kuwa ni vyombo vya wema ana amani duniani!

Papa Francisko anawataka wanamichezo kuwa ni vyombo vya wema na amani duniani.

Papa Francisko: Wanamichezo wawe ni vyombo vya wema na amani duniani!

02/08/2017 14:35

Baba Mtakatifu Francisko anapongeza juhudi zinazofanywa na wana michezo katika maboresho na mchakato wa kuimarisha tunu msingi za maisha ya kifamilia; kwa kujenga umoja, upendo na udugu! Duniani inawahitaji wanamichezo ambao watakuwa ni vyombo vya wema na amani duniani!

Haki msingi za wakimbizi na wahamiaji hazina budi kukuzwa na kudumishwa!

Haki msingi za wakimbizi na wahamamiaji hazina budi kukuzwa na kudumishwa na wote.

Huduma kwa wakimbizi na wahamiaji: mafungamano ya kifamilia!

22/07/2017 14:31

Askofu mkuu Ivan Jurkovic anasema mshikamano wa kifamilia ni jambo muhimu sana katika majadiliano kuhusu haki za wakimbizi na wahamiaji duniani. Jumuiya ya Kimataifa haina budi kutambua uchungu wa mtu kuacha familia, nchi na utamaduni wake ili kutafuta hifadhi ughaibuni!

Miaka 210 ya Uinjilishaji nchini Indonesia

Kanisa nchini Indonesia kuadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji

Jakarta yaadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji

16/06/2017 14:41

Jimbo kuu la Jakarta laadhimisha miaka 210 ya Uinjilishaji nchini Indonesia na kwa namna ya pekee waamini wamepata nafasi ya kujadiliana namna ya kuboresha ushuhuda wa tunu za familia za kikatoliki na makuzi bora kwa vijana.