Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tunu Msingi za Kikristo!

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassetti asema, Bara la Ulaya bado lina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

Kardinali Bassettti: Ulaya bado ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!

11/07/2018 16:58

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Siku kuu ya Mtakatifu Benedikto Abate anasema, umefika wakati kwa Bara la Ulaya kugundua tena fadhila ya matumaini, kwa kumweka mwanadamu kuwa ni kiini cha taasisi zake. Kardinali Bassetti anakaza kusema, Ulaya ina kiu ya tunu msingi za Kikristo!