Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tume ya Kipapa kwa Amerika ya Kusini

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilisha katika maisha na wito wao!

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilishana katika maisha na wito wao kwa kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Mwanaume na mwanamke wanakamilishana kama sura na mfano wa Mungu

12/03/2018 12:15

Kardinali Marc Ouellet anasema, mwanaume na mwanamke kadiri ya mpango wa Mungu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ili kukamilishana. Kwa pamoja wanawajibika kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa duniani!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto nyingi!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto pevu katika utekelezaji wa dhamana na majukumu yao ya kila siku!

Wanawake ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa Amerika ya Kusini

05/03/2018 07:00

Dhamana, wajibu, changamoto na matatizo wanayokabiliana nayo wanawake Amerika ya Kusini ndicho kiini cha mkutano wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini inayoanza kikao chake mjini Vatican kuanzia tarehe 6-9 Machi 2018 kwa kuwashirikisha wanawake ili kujadili mustakabali wao!

Baba Mtakatifu Francisko kuadhimisha kumbu kumbu ya B. Maria Mama Yetu wa Guadalupe hapo tarehe 12 Desemba 2016.

Papa Francisko kuadhimisha Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya kumbu kumbu ya B. Maria Mama Yetu wa Guadalupe.

Kumbu kumbu ya Bikira Maria Mama Yetu wa Guadalupe!

24/11/2016 15:00

Familia ya Mungu kutoka Amerika ya Kusini na Ufilippini imejenga utamaduni wa kuwa na Ibada kwa Bikira Maria wa Guadalupe, Ibada ambayo tangu mwaka 2011 ilipoadhimishwa kwa mara ya kwanza kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican imekuwa na mvuto wa pekee sana!

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Amerika ya Kusini, CELAM linaadhimisha Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu huko Bogota, Colombia!

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Amerika ya Kusini na Visiwa vya Caribbean linaadhimisha Mwaka wa huruma ya Mungu huko Bogotà, Colombia kuanzia tarehe 27- 30 Agosti 2016.

Upepo wa maadhimisho ya Jubilei ya huruma ya Mungu Amerika ya Kusini

08/08/2016 09:24

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu kwa Kanisa Amerika ya Kusini na Visiwa vya Caribbean yataanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 27- 30 Agosti 2016 kwa kuwashirikisha wajumbe wa familia ya Mungu kutoka katika nchi 22 zinazounda Kanisa la Amerika ya Kusini!

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini.

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini.

Tuko mikononi mwa Mungu, mlinzi mkuu!

14/07/2016 14:24

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 13 Julai 2016 amewatembelea na kuzungumza na wajumbe wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini inayojiandaa kwa ajili ya maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu huko Bogotà. 

 

Baba Mtakatifu anasema hiki ni kipindi cha waamini walei kushuhudia imani yao kwa Kristo na Kanisa lake!

Hiki ni kipindi cha waamini walei kushuhudia imani yao kwa Kristo na Kanisa lake!

Wahudumieni Watu wa Mungu kikamilifu ili wawe mashuhuda katika hadhara!

26/04/2016 14:55

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika kwa namna ya pekee viongozi wa Kanisa Amerika ya Kusini kuisaidia Familia ya Mungu kusoma alama za nyakati, ili hatimaye kutoa ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika maisha ya hadhara, chachu ya Uinjilishaji mpya inayojikita katika ushuhuda!