Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Toba na Wongofu wa ndani!

Papa Francisko anawaalika waamini kutubu na kuongoka ili kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao.

Papa Francisko anawaalika waamini kutubu na kumwongokea Mungu ili kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao.

Papa Francisko: Waamini jitahidini kutubu na kumwongokea Mungu

21/07/2018 14:42

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyezi mungu ni mwingi wa huruma na mapendo, kamwe hachoki kuwasamehe wale wote wanaomwendea kwa moyo wa majuto na toba, wakiomba msamaha wa dhambi zao! Kanisa linalaani dhambi, lakini linawakumbatia wadhambi, ili watubu na kuongoka!

Waamini wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayofumbatwa katika toba, wongofu na utakatifu wa maisha.

Waamini wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayosimikwa katika ushuhuda wa maisha, toba, wongofu wa ndani na utakatifu wa maisha!

Mnatumwa kuwa mashuhuda wa furaha ya Injili ya Kristo kwa Mataifa!

14/07/2018 06:58

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanasema, ushuhuda wa Kikristo unafumbatwa katika uhalisia wa maisha na majadiliano katika nyanja mbali mbali za maisha ya mwanadamu. Ni ushuhuda wa upendo unaojikita katika toba na wongofu wa ndani kama chachu ya kuyatakatifuza malimwengu!

 

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu

Mnaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu

13/07/2018 17:15

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanasema, Kanisa linalosafiri duniani, kwa tabia yake ni la kimisionari, sababu limepata asili yake katika Fumbo la Utatu Mtakatifu kadiri ya azimio la Mungu Baba, kiini cha huruma, upendo na mshikamano wa dhati ili kuyatakatifuza malimwengu, wito muhimu!

Makardinali wapya 14 walipata nafasi ya kumtembelea na kumsalimia Papa Mstaafu Benedikto XVI!

Makardinali wapya 14 baada ya kusimikwa rasmi, walikwenda moja kwa moja na Papa Francisko kumsalimia Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI kwenye makao yake "Mater Ecclesiae".

Dhamana na wajibu wa Makardinali katika maisha na utume wa Kanisa!

30/06/2018 08:05

Makardinali wapya wanasema, wataendelea "kujichimbia" katika mchakato wa utamaduni wa watu kukutana na kujadiliana katika ukweli na uwazi ili kukuza na kudumisha sanaa ya majadiliano; wataendelea kulinda, kutetea na kudumisha haki msingi za binadamu, utu na heshima yake kadiri ya mwanga wa Injili!

Papa Francisko anawataka Makardinali kuwa waaminifu kwa Kristo na Kanisa lake na hivyo kuwajibika kwa ajili ya utume wa Kanisa.

Papa Francisko anawataka Makardinali kuwajibika na kuendelea kuwa waaminifu kwa Kristo na Kanisa lake, ili kushiriki kikamilifu katika utume wa kutangaza Habari Njema ya Wokovu!

Makardinali dhamana yenu ni: Uaminifu, uwajibikaji na utume kwa Kanisa

29/06/2018 08:00

Toba na wongofu wa ndani, uwasaidie waamini kuondokana na dhambi pamoja na ubinafsi, ili kujikita katika uaminifu na uwajibikaji kwa kujisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa! Makardinali wanao wajibu mkubwa zaidi!

Papa Francisko: Wakristo wanahamasishwa kuenenda katika Roho!

Papa Francisko: Wakristo wanahamasishwa kuenenda katika Roho!

Papa Francisko asema, Wakristo wanahimizwa kuenenda katika Roho!

21/06/2018 16:56

Baba Mtakatifu Francisko katika Ibada ya sala ya toba, upatanisho na umoja wa Makanisa amewataka Wakristo kuenenda katika Roho kwa kutambua kwamba, binadamu hapa duniani ni hujaji na kwamba, kuenenda katika Roho ni kiini cha wito na maisha ya Kikristo; ni kujikita katika msamaha na huduma!

Mwenyeheri Sr. Carmen Rendìles Martines ni mtawa aliyejisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa na jirani zake.

Mwenyeheri Sr. Carmen Rendìles Martines ni mtawa aliyejisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa na jirani zake.

Mwenyeheri Mama Carmen Rendiles Martines, alijisadaka sana!

18/06/2018 08:39

Mwenyeheri Sr. Carmen Renìles Martines alijiweka wakfu kwa ajili ya huduma ya Kanisa na jirani zake ili kuwashirikisha huruma na upendo wa Mungu uliokuwa unabubujika kutoka katika Sakramenti kuu. Ni mtawa aliyebaki mwaminifu kwa Kanisa licha ya mawimbo mazito ya maisha!

Ufalme wa Mungu hukua polepole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

Ufalme wa Mungu hukua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake, kila mwamini anaalikwa kushiriki katika ujenzi wake.

Ufalme wa Mungu: Unakua pole pole na kuzaa matunda kwa wakati wake!

15/06/2018 08:09

Mwenyezi Mungu anawaalika waja wake kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani. Ufalme hukua pole pole lakini uzaa matunda kwa wakati wake. Jambo la msingi ni kila mwamini kushiriki kikamilifu kuujenga!