Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Toba

Jumapili ya II ya Majilio: Mwaliko ni toba na wongofu wa ndani!

Jumapili ya II ya Majilio: Mwaliko ni toba na wongofu wa ndani!

Jumapili ya Pili ya Kipindi cha Majilio! Toba na wongofu wa ndani!

10/12/2017 11:59

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya Pili ya Kipindi cha Majilio inatoa mwaliko kwa waamini kutubu na kumwongokea Mwenyezi Mungu, tayari kuanza kutembea katika upya wa maisha, kama sehemu ya mchakato wa maandalizi ya kumpokea Kristo Yesu anayezaliwa tena kati ya watu wake!

 

Papa Francisko Jimbo kuu la Bologna amekazia: Neno la Mungu, Ekaristi Takatifu na huduma kwa maskini!

Papa Francisko Jimbo kuu la Bologna amekazia: Neno la Mungu, Ekaristi Takatifu na huduma makini kwa maskini!

Maisha ya Kikristo yanafumbatwa katika: Neno, Ekaristi na Maskini!

02/10/2017 09:04

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake ya kufunga maadhimisho ya Kongamano la Ekaristi Takatifu Jimbo kuu la Bologna, Italia amekazia umuhimu wa Neno la Mungu ambalo ni dira na mwongozo wa maisha; Ekaristi Takatifu chanzo na kilele cha maisha na utume wa Kanisa pamoja na maskini!

Wokovu ni zawadi ya Mungu inayotolewa kwa watu wote, lakini kila mmoja anawajibika kuipokea katika maisha yake kwa uhuru kamili.

Wokovu ni zawadi ya Mungu inayotolewa kwa watu wote, lakini, kila mtu anawajibika kuipokea kwa uhuru unaomwilishwa katika mapendo kamili.

Tafakari ya Neno la Mungu: Zawadi ya wokovu na uhuru wa binadamu!

30/09/2017 10:39

Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili ya XXVI ni mwaliko wa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya huduma inayomwilishwa katika uhuru kamili, upendo wa dhati; utii, toba na wongofu wa ndani, kwa ajili ya sifa kwa Mwenyezi na zawadi ya wokovu kwa binadamu wote! Wokovu ni wajibu wa mtu binafsi!

Papa Francisko anasema: Waamini na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kusali na kuwaombea viongozi wao wa serikali.

Papa Francisko anasema, waamini na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kuwaombea viongozi wao wa serikali.

Papa Francisko: Waamini mnayo dhamana ya kuwaombea viongozi wenu!

18/09/2017 13:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema, waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema wanayo dhamana na wajibu wa kuwaombea viongozi wao wa Serikali ili waweze kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao kadiri ya sheria, taratibu na katiba ya nchi zao, ili kudumisha haki, amani, usalama na ustawi.

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mungu amjalie neema na baraka ya kulia pamoja na wale wanaoomboleza kutokana na sababu mbali mbali.

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mwenyezi Mungu amjalie kipaji cha kulia na kuwaombolezea wale wanaoteseka kutokana na matatizo na shida mbali mbali.

Ni wanawake peke yao wenye ujasiri wa kusimama chini ya Msalaba

15/09/2017 12:39

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 15 Septemba anaadhimisha Kumbu kumbu ya Bikira Maria wa mateso. Mama wa Mungu na Kanisa alithubutu kusimama chini ya Msalaba na kushuhudia Mwanaye wa pekee, Kristo Yesu akikata roho! Akasali na kumwombolezea Mwanaye mpendwa!

Sakramenti ya upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayofariji, samahe na kuuhisha!

Sakramenti ya Upatanisho ni mahakama ya huruma ya Mungu inayotakasa, fariji, samahe na kuuisha!

Iweni wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni!

14/09/2017 11:19

Mama Kanisa anafundisha kwamba, huruma, upendo na haki ni fadhila ambazo inapaswa kumiminika kutoka katika kilindi cha moyo wa mwamini, ili hatimaye, kushuhudia: utakatifu, huruma na mapendo kutoka kwa Mwenyezi Mungu yaliyofunuliwa na Kristo Yesu katika ile sala kuu ya Baba Yetu!

 

Papa Francisko anawataka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu na jirani zao, kukubali ukweli, kutubu na kuongoka!

Papa Francisko anawaka wananchi wa Colombia kujipatanisha na Mungu, Jirani na Mazingira! Kukubali ukweli ili kupokea na kutoa msamaha!

Tafakari ya Papa Francisko katika Liturujia ya Upatanisho wa Kitaifa

09/09/2017 14:07

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuwaalika watu wa Mungu nchini Colombia kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani zao! Wasiogope ukweli na haki; kupokea na kutoa msamaha; kujipatanisha; kwa kujikita katika toba na wongofu wa ndani ili kujenga na kudumisha amani, haki, utu na heshima ya binadamu.

Kila mtu mwenye imani thabiti anaweza kupata rehema na baraka kutoka kwa Kristo Yesu, Mwana wa Mungu aliye hai!

Kila mtu mwenye imani thabiti anaweza kupata rehema na baraka kutoka kwa Kristo Yesu, Mwana wa Mungu aliye hai!

Imani thabiti inaokoa! Jaribu uonje ukuu wa Mungu!

17/08/2017 15:18

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mapendo, kwa wale wote wanaomkimbilia kwa imani na matumaini katika shida na mahangaiko yao ya ndani! Ni hamu ya Mwenyezi Mungu ili kwamba watu wote waweze kuokoka kwa kumpokea Kristo Yesu katika maisha yao! Kila mwenye imani thabiti atapata rehema!

Toba