Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Thailand

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Eritrea na Ethiopia

Papa Francisko apongeza juhudi za majadiliano ya amani kati ya Ethiopia na Eritrea.

Papa Francisko apongeza majadiliano ya amani huko Pembe ya Afrika!

02/07/2018 11:16

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Sala ya Malaika wa Bwana, Jumapili Mosi, Julai 2018 ameyaelekeza mawazo na sala zake kwa familia ya Mungu nchini Nicaragua ili demokrasia iweze kushika mkondo wake; Siria ili kuwapunguzia mateso na kwamba, kuna matumaini ya amani huko Pembe ya Afrika.

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand

16/05/2018 15:40

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano 16 Mei 2018, amekutana na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand, mjini Vatican ambapo wakati wa hotuba yake ameshukuru zawadi ya kitabu chao Kitakatifu katika Lugha ya kisasa ya wamonaki wa Ekalu la Wat Pho. Amesifu ishala njema ya urafiki na ukarimu!