Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tamko la Mtaguso mkuu: Liturujia

Papa Francisko anapania kuendeleza mchakato wa mabadiliko ya Liturujia kadiri ya Mataguso mkuu wa Pili wa Vatican.

Papa Francisko anapania kuendelea mchakato wa mageuzi yaliyoanzishwa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican kwa kukazia umuhimu wa Baraza la Kipapa la Ibada na Nidhamu ya Sakramenti za Kanisa.

Papa Francisko na mwendelezo wa mchakato wa mabadiliko ya Kiliturujia

13/09/2017 11:18

Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican walikazia umuhimu wa Liturujia katika maisha ya Kanisa! Wakaweka Kanuni za jumla za marekebisho na ukuzaji wa Liturujia Takatifu ambayo ni njia ya Mungu kutukuzwa na mwanadamu kutakatifuzwa kwa njia ya Kristo Yesu, Kuhani mkuu wa Agano Jipya!

Baraza la Kipapa la Ibada, Nidhamu na Sakramenti za Kanisa linayo dhamana ya kutambua na kuthibitisha vitabu vya Liturujia ya Kanisa.

Baraza la Kipapa la Ibada, Nidhamu na Sakramenti za Kanisa linayo dhamana ya kutambua na kuthibitisha tafsiri ya vitabu vinavyotumika kwa Liturujia ya Kanisa.

Tafsiri ya vitabu vya Liturujia ya Kanisa lazima vithibitishwe kwanza

13/09/2017 10:50

Baraza la Kipapa la Ibada na Nidhamu ya Sakramenti za Kanisa limepewa dhamana na Mama Kanisa ya kutambua "recognitio" na kuthibitisha "Confirimatio" tafsiri ya vitabu vyote vinavyotumika katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa baada ya kufanyiwa kazi na Mabaraza ya Maaskofu na Maaskofu mahalia!

Papa Francisko katika Barua yake Binafsi "Magnum Principium" anakazia umuhimu wa tafasiri sahihi ya vitabu vya liturujia ya Kanisa.

Papa Francisko katika Barua yake binafsi "Motu Proprio: Magnum Principium" anakazia umuhimu wa kutafasiri vitabu vya liturujia kwa watu wa Mungu.

Barua Binafsi kuhusu: Mwendelezo wa Mageuzi ya Maisha ya Liturujia

13/09/2017 10:19

Baba Mtakatifu Francisko ameandika Barua Binafsi "Magnum Principium" kuhusu mwendelezo wa mchakato wa mageuzi katika maisha ya Liturujia ya Kanisa yaliyoanzishwa na Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican kwa kubadilisha Sheria za Kanisa namba 838 kuhusu tafsiri ya lugha ya vitabu vya liturujia

Machoni pako kuna neno langu ni kitabu chenye utajiri wa maisha na utume wa Papa Francisko

Machoni pako kuna neno langu ni kitabu chenye utajiri mkubwa wa maisha na utume wa Papa Francisko

Machoni pako kuna neno langu! Ni kitabu chenye utajiri mkubwa!

11/11/2016 11:54

Machoni pako kuna neno langu ni kitabu ambacho kimehaririwa na Padre Antonio Spadaro kinachokusanya mahubiri, hotuba na tafakari mbali mbali zilizowahi kutolewa na Baba Mtakatifu Francisko kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2010, ushuhuda wa utajiri wa maisha na utume wake duniani!

Baba Mtakatifu anasema, mahubiri yanapaswa kuandaliwa kwa makini ili yaguse, akilini, nyoyo na maisha ya waamini!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mahubiri yanapaswa kuandaliwa kwa makini ili yaweze kugusa akili, nyoyo na maisha ya watu ili hatimaye, watubu na kumwongokea Mungu.

Kitabu cha mahubiri na hotuba za Papa Francisko 2005 - 2010

10/11/2016 15:17

Baba Mtakatifu Francisko katika mkusanyiko wa mahubiri yake kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2010 anashirikisha mambo msingi yanayopaswa kuzingatiwa na Wakleri wanapoandaa mahubiri, ili kweli Neno la Mungu liweze kuwagusa akili, nyoyo na maisha yao, tayari kutubu na kuongoka.

Lengo la Liturujia ni utukufu kwa Mungu na ukombozi kwa mwanadamu!

Lengo la Liturujia ni utukufu kwa Mungu na wokovu kwa binadamu.

Lengo la Liturujia ni utukufu kwa Mungu na ukombozi kwa mwanadamu!

20/02/2016 15:26

Maadhimisho ya Jubilei ya miaka 50 ya Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican imekuwa ni fursa ya kusoma, kutafakari na kupyaisha tena na tena changamoto zilizotolewa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican katika maisha na utume wa Kanisa!

Nyaraka za Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican zina utajiri mkubwa katika maisha ya kiroho.

Nyaraka za Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican zina utajiri mkubwa katika maisha ya kiroho.

Utajiri wa Nyaraka za Mtaguso kwa maisha ya kiroho!

19/02/2016 10:53

Nyaraka za Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican zina utajiri mkubwa katika maisha ya kiroho; Roho Mtakatifu ana nafasi ya pekee katika maadhimisho ya Liturujia ya Kanisa kwani anawasaidia waamini kumwabudu Mwenyezi Mungu kwa njia ya Kristo Yesu na kwamba, sala ya maombi ni muhimu.