Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tamko la Haki Msingi za Binadamu

Baba Mtakatifu Francisko anasema, uhuru wa kuabudu ni kiini cha haki msingi za binadamu, utu na heshima yake!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, uhuru wa kuabudu ni kiini cha haki msingi za binadamu, utu na heshima yake.

Uhuru wa kidini ni msingi wa haki zote za binadamu!

30/06/2018 08:34

Uhuru wa kidini ni zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayopaswa kulindwa, kukuzwa na kudumishwa na wote kwani ni msingi wa haki zote za binadamu, utu na heshima yake: Kumbe, umoja na mshikamano; amani na utulivu; ustawi, maendeleo na mafao ya wengi ni muhimu sana!

Yaliyojiri wakati wa mahojiano kati ya Papa Francisko na Waandishi wa Habari wakiwa njiani kutoka Geneva, Uswiss, 21 Juni 2018.

Yaliyojiri katika mahojiano maalum kati ya Papa Francisko na waandishi wa habari wakati akiwa njiani kutoka Geneva Uswiss, tarehe 21 Juni 2018.

Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Papa Francisko na Wanahabari!

23/06/2018 16:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hija yake ya kiekumene nchini Uswiss imemwezesha kukutana na viongozi mbali mbali wa Kanisa wanaoendelea kujizatiti kwa ajili ya mchakato wa majadiliano ya kiekumene yanayofumbatwa katika kutembea, kusali na kushirikiana kama ushuhuda wa uinjilishaji mpya!

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda na kiekumene!

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda ya kiekumene.

Patriaki Bartolomeo wa kwanza: Mafao ya wengi ni ajenda ya kiekumene

26/05/2018 14:55

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda ya pamoja kwa wakristo wote ili kusaidia maboresho katika sekta ya uchumi na ekolojia; sayansi na teknolojia; jamii na siasa; kwa kusimama kidete: kulinda na kutetea utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi!

Papa Francisko, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wasio wakazi.

Papa Francisko, Alhamisi tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Tanzania, Lesotho, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland.

Papa Francisko apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wapya

17/05/2018 17:00

Mabalozi wapya wasio wakazi kutoka Tanzania, Lesotho, Pakistan, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 wamewasilisha hati zao za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican ambaye amekazia umoja na mshikamano ili kukabiliana na changamoto mamboleo.

Tarehe 3 Mei 2018 Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya habari Duniani.

Tarehe 3 Mei 2018 Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani.

Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani 2018

03/05/2018 11:05

Jumuiya ya Kimataifa tarehe 3 Mei 2018 inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Byombo vya Habari Duniani sanjari na kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa siku hii kunako mwaka 1993. Mwaka 2018 Umoja wa Mataifa unakumbuka pia miaka 70 ya Tamko la Haki Msingi za Binadamu.

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei Miaka 50 ya Ukatoliki na Uinjilishaji; Miaka 50 ya Hatima ya Tanzania & Haki Msingi za Binadamu.

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki na Uinjilishaji Tanzania Bara; Miaka 50 tangu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania litoe Waraka kuhusu Hatima ya Tanzania na Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2019.

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei ya Miaka 150, Maendeleo & Haki msingi!

27/03/2018 13:56

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa mwaka 2018, limetoa dira na mwelekeo wa tafakari kuhusu maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki na Uinjilishaji Tanzania Bara; Miaka 50 ya Waraka wa Hatima ya Tanzania pamoja na Haki msingi za binadamu!

Umoja wa Mataifa unasema, zaidi ya watoto milioni 535 katika kipindi cha mwaka 2017 wameathirika kwa vita, kinzani na mabadiliko ya tabianchi.

Umoja wa Mataifa unasema, katika kipindi cha mwaka 2017 zaidi ya watoto 535 wameathirika kutokana na vita, kinzani na mabadiliko ya tabianchi sehemu mbali mbali za dunia.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda utu na haki msingi za watoto

06/03/2018 14:30

Taarifa za Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2017 zaidi ya watoto milioni 535 wameathirika kutokana na vita, kinzani mbali mbali pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zimewafanya wengi wao kujikuta wakiwa ni wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali duniani.

Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara; Ustawi, maendeleo na mafao ya wengi pamoja na demokrasia ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa 2018 Tanzania

Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Ustawi, Maendeleo na Mafao ya wengi sanjari na demokrasia kama utekelezaji wa haki msingi za binadamu ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Ujumbe wa Kwaresima Tanzania: Uinjilishaji, maendeleo na demokrasia

13/02/2018 08:44

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linakazia: Uinjilishaji unaomwilishwa katika matendo; Mwelekeo na hatima ya Tanzania katika sera na mikakati ya maendeleo endelevu pamoja na demokrasia kama sehemu ya utekelezaji wa haki msingi za binadamu.