Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili VI Mwaka B

Papa Francisko: Iweni mashuhuda wa Injili ya huruma, upendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini!

Papa Francisko: Iweni mashuhuda wa Injili ya huruma, mapendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini duniani.

Iweni vyombo na mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa wagonjwa

10/02/2018 08:26

Upendo kwa Mungu na jirani kama muhtasari wa mafundisho makuu ya Kristo Yesu kwa wafuasi wake ni changamoto endelevu inayowataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huruma, upendo na matumaini kwa wagonjwa na maskini duniani!

 

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika tiba na huduma!

Papa Francisko anahimiza umuhimu wa kujizatiti katika kulinda na kudumisha utu, heshima na haki msingi za wagonjwa katika huduma, tiba na tafiti mbali mbali.

Waonjesheni wagonjwa: huruma, upendo, utu na heshima!

10/02/2018 07:49

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Siku ya XXVI ya Wagonjwa Duniani kwa Mwaka 2018 anawalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuhakikisha kwamba, wanatoa kipaumbele kwa utu, heshima na mahitaji msingi ya wagonjwa, kielelezo cha huruma ya Mungu.

Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na hivyo kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama watoto wapendwa wa Mungu.

Kristo Yesu aliwaponya wagonjwa kwa kuwagusa na kuwaombea ili kuwarejeshea tena utu na heshima yao kama binadamu.

Yesu anapambana na hali ya wagonjwa ili kuwarejeshea utu na heshima!

09/02/2018 17:23

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya VI ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inajikita zaidi katika huduma ya uponyaji inayofanywa na Kristo Yesu kwa njia ya maneno na matendo yake, ili kuwahudumia wale waliotengwa na jamii na hivyo kuwapatia tena hadhi na utu wao kama watoto wa Mungu!