Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Tafakari ya Neno la Mungu

Mwenyezi Mungu ameandaa karamu ya uzima wa milele, jambo la msingi ni kuwa na vazii rasmi la harusi, yaani neema ya utakaso!

Mwenyezi Mungu ameandaa karamu ya maisha ya uzima wa milele, jambo la msingi ni kuwa na vazi rasmi, yaani neema ya utakaso.

Mwaliko kwenye karamu ya uzima wa milele! Sharti ni vazi la harusi

11/10/2017 15:54

Mwenyezi Mungu amewaandalia waja wake karamu ya maisha ya uzima wa milele, jambo la msingi ni mtu mwenyewe kuwajibika barabara kukubali mwaliko huu uliotolewa na Manabii, Yesu, Mitume na Kanisa kwa wakati huu! Jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba, daima unakuwa na vazi la harusi!

 

Papa Francisko anawataka watawa kuzingatia: sala, kiasi na umoja katika upendo.

Papa Francisko anawataka watawa kuzingatia maisha ya sala endelevu, kiasi na umoja katika upendo.

Papa Francisko: Watawa zingatieni: Sala, kiasi na umoja katika upendo

23/09/2017 15:48

Baba Mtakatifu Francisko anawataka watawa katika maisha na utume wao kuhakikisha kwamba, wanazingatia maisha ya sala endelevu; wanakuwa na kiasi kama kielelezo cha ushuhuda wenye mvuto na mashiko na wanadumisha umoja katika mapendo kwa kuzingatia maisha ya kijumuiya na amana ya kiroho.

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa katika chombo cha udongo!

Wito na maisha ya kipadre yamehifadhiwa kwenye chombo cha udongo!

Alessandro Manzi, C.PP.S apewa Daraja Takatifu ya Upadre!

24/07/2017 10:53

Mapadre katika maisha na utume wao, wanaendelea kuulizwa swali la msingi na Kristo Yesu ikiwa kama wanampenda Kristo katika Sala, Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa na Mafundisho Tanzu sanjari na sadaka ya maisha inayotolewa kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu!

 

Papa Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana ameikumbuka Jumuiya ya Wakatoliki nchini Venezuela kwa sala na sadaka yake!

Papa Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana ameikumbuka Jumuiya ya Wakatoliki kutoka Venezuela kwa sala na sadaka yake.

Papa Francisko anawakumbuka na kuwaombea wananchi wa Venezuela

17/07/2017 09:23

Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya Sala ya Malaika wa Bwana amewakumbuka wananchi wa Venezuela katika sala na maombi yake; amewataka Wakarmeli kujikita zaidi katika tafakari ya Neno la Mungu pamoja na kuyapongeza Mashirika kadhaa ya kitawa kwa maadhimisho ya kumbu kumbu zao!

Neno la Mungu ni taa ya kuingoza miguu ya waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Neno la Mungu ni taa inayowaongoza waamini katika hija ya utakatifu wa maisha!

Jitaabisheni kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu

15/07/2017 15:21

Mama Kanisa anawaalika waamini kujitahidi katika maisha yao kulisoma, kulitafakari na kulimwilisha Neno la Mungu katika maisha yao ili liweze kuzaa matunda yanayokusudiwa yaani toba na wongofu wa ndani, unaowasaidia waamini kuambata utakatifu wa maisha, ushuhuda wenye mvuto!

Fadhila za kimungu na kibinadamu ziwawezeshe waamini kutenda mema!

Fadhila za kimungu na kibinadamu ziwawezeshe waamini kutenda mema kwa ajili ya ujenzi wa ufalme wa Mungu.

Mwilisheni fadhila ya unyenyekevu katika huduma kwa watu wa Mungu!

06/07/2017 16:14

Fadhila ni tabia ya kawaida na imara ya kutenda mema na inamwezesha mtu kutoa kilicho chema kabisa kutoka katika undani wa nafsi yake. Mtu wa fadhila huelekea mema kwa hisi zake zote na nguvu za kiroho. Ni mtu anayejibidisha kutafuta mema na kuyachagua kwa matendo halisi!

Ukarimu ni sehemu ya utambulisho wa Kikristo unaojenga umoja na udugu.

Ukarimu ni sehemu ya utambulisho wa Kikristo unaojenga umoja, udugu na mshikamano.

Ukarimu ni utambulisho wa Kikristo unaoimarisha udugu!

30/06/2017 08:26

Ukarimu ni fadhila inayomwilisha ile kanuni ya dhahabu: Kile unachotaka kutendewa na watu, jitahidi hata wewe kuwatendea wengine! Hii ndiyo amri mpya yaani upendo kwa Mungu na jirani. Upendo huu kamwe usiwe na unafiki, bali lijikite katika matumaini, furaha, upole na ukarimu!

Wakarismatiki Wakatoliki wamekuwa ni msaada mkubwa katika uekumene wa sala, maisha ya kiroho, huduma na damu! Ni makini katika Neno na ushuhuda!

Wakarismatiki Wakatoliki wamekuwa ni msaada mkubwa katika mchakato wa uekumene wa sala, maisha ya kiroho, huduma na damu. Makini katika tafakari ya Neno la Mungu!

Mchango na utume wa Wakarismatiki Wakatoliki ndani ya Kanisa!

06/06/2017 15:45

Baba Mtakatifu Francisko anawapongeza wanachama wa Chama cha Wakarismatiki Wakatoliki Duniani kwa kusaidia kudumisha mchakato wa majadiliano ya kiekumene katika sa,a maisha ya kiroho, huduma na damu! Wamekuwa mstari wa mbele katika tafakari ya Neno la Mungu na matendo ya huruma!