Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Taasisi ya Kipapa ya Familia ya Yohane Paulo II

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae", 25 Julai 1968: Changamoto Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa Paulo VI "Humanae vitae", mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kusimamakidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya maisha.

Kanisa litaendelea kujizatiti kutetea Injili ya uhai!

29/05/2018 13:30

Mama Kanisa tarehe 25 Julai 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 50 tangu Mwenyeheri Paulo VI alipochapisha Waraka wake wa Kitume "Humane vitae" yaani "Maisha ya mwanadamu" kwa kuonesha dhamana na wajibu wa kurithisha zawadi ya uhai; kwa uhuru na waujibaki mkubwa!

25 Januari 2018, kumezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II, Roma

25 Januari 2018, kimezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II Roma

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Tukio la Uzinduzi wa Kitengo kipya

26/01/2018 09:40

Tarehe 25 Januari 2018 katika Taasisi ya Kipapa ya Taalimungu na Sayansi ya ndoa na Familia ya Yohane Paulo II,imezinduliwa Fani mpya ya Gaudium et Spes,Hati ya  kichungaji inayohusu Kanisa katika ulimwengu.Na Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa Askofu Vincenzo Paglia