Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Taaasisi ya Kiekumene ya Bossey

Hija ya Kiekumene ya Papa Francisko nchini Uswiss: Kutembea, Kusali na Kushirikiana!

Hija ya Kiekumene ya Papa Francisko nchini Uswiss inaongozwa na kauli mbiu "Kutembea, kusali na kushirikiana, mambo msingi yaliyotekelezwa na Baraza la Makanisa katika kipindi cha miaka 70 ya uwepo na utume wake.

Hija ya Kiekumene ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Uswiss, 2018

20/06/2018 15:46

Kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni ndicho kiini cha hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Uswiss, tarehe 21 Juni 2018. Hili ni tukio linalowawezesha Wakristo kutembea, kusali na kushirikiana katika ushuhuda na huduma kwa walimwengu.

Uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko katika Jubilei ya miaka 70 ya Baraza la Makanisa Ulimwenguni ni zawadi kwa Makanisa!

Uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko kwenye Jubilei ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni ni zawadi kubwa kwa Makanisa!

Papa Francisko ni zawadi kwa Makanisa katika majadiliano ya kiekumene

16/05/2018 08:40

Nembo na kauli mbiu inayoongoza hija ya kiekumene ya Baba Mtakatifu Francisko mjini Geneva nchini Uswiss, tarehe 21 Juni 2018 inakazia umuhimu wa Makanisa: Kutembea, Kusali na Kushirikiana kama muhtasari wa dhamana na malengo makuu ya majadiliano ya kiekumene miongoni mwa Makanisa!

Papa Francisko tarehe 21 Juni 2018 anashiriki katika kumbu kumbu ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni.

Papa Francisko tarehe 21 Juni 2018 anashiriki katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni.

Miaka 70 ya Baraza la Makanisa Ulimwenguni, Papa kushiriki, 21 Juni!

08/05/2018 15:04

Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa hapo tarehe 21 Juni 2018 kushiriki kikamilifu katika kumbu kumbu ya maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni. Atashiriki sala ya kiekumene, mkutano na viongozi wa Makanisa pamoja na kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu.