Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sr. Faustina Kowalska

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi

Sherehe ya huruma ya Mungu katika maisha ya mwanadamu!

06/04/2018 06:30

Mama Kanisa anawakumbusha waamini kwamba, ni katika Jumapili ya huruma ya Mungu, Kristo Yesu anaweka Sakramenti ya Upatanisho mahali pa kujichotea huruma, upendo na msamaha wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Mtume Tomaso baada ya kukutana na Kristo Yesu anaungama imani yake!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu!

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya wokovu.

Injili ya huruma ya Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa

05/04/2018 13:16

Huruma ya Mungu ni muhtasari wa historia nzima ya ukombozi wa mwanadamu unaofikia kilele chake katika Fumbo la Msalaba, yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu. Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kumwilisha huruma ya Mungu katika matendo ya huruma.

 

Fumbo la Pasaka ni ufunuo wa huruma, upendo na msamaha wa Mungu kwa binadamu!

Fumbo la Pasaka ni ufunuo wa huruma, upendo na msamaha wa Mungu kwa binadamu!

Jumapili ya Huruma ya Mungu, mwanzo wa maisha mapya katika huruma!

04/04/2018 11:01

Baba Mtakatifu Francisko katika Waraka wake wa Kitume "Misericordiae vultus" yaani "Uso wa huruma" anasema, Fumbo la Pasaka yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu ni ufunuo wa huruma ya Mungu inayoganga, kusamehe na kuponya dhambi za binadamu, tayari kuambata utakatifu wa maisha!