Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sr.Angela Rwezaula

Toleo jipya la Mwongozo Katoliki kwa makanisa ya Mashariki limetolewa

Toleo jipya la Mwongozo Katoliki kwa makanisa ya Mashariki limetolewa

Toleo jipya la Mwongozo Katoliki kwa nchi za Mashariki umetolewa !

26/06/2018 16:30

Katika maadhimisho ya mwaka wa 100 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Kipapa la Makanisa ya mashariki, limetangazwa toleo jipya la mwongozo Katoliki kwa nchi za Mashariki,. Na hiyo ni baada ya matoleo mengine ya mwaka  1929, 1932,1962 na 1974. Na toleo jipya ni  tayari katika duka la vitabu!

 

 

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya  SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

26/06/2018 16:00

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic, mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva ametoa hotuba yake tarehe 25 Juni 2018 katika kikao cha 38 kitengo cha  haki za Binadamu,katika kikao cha  mada ya haki ya mafunzo,na kuonesha  juhudi za Kanisa Katoliki kwa mashule

 

na wajumbe wa Baraza la Kipapa la maisha wakisindikizwa na Mwenyekiti wake Askofu Mkuu Paglia

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wajumbe wa Baraza la Kipapa la maisha wakisindikizwa na Mwenyekiti wake Askofu Mkuu Paglia

Papa Francisko: utofauti ni msingi wa maisha ya binadamu!

25/06/2018 16:55

Katika hotuba ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 25 Juni 2018, amewatia moyo wa utume alipokutana na wajumbe wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya maisha wakiongozwa na Askofu Mkuu Vincenzo Paglia Mwenyekiti wa Baraza kwa ajili ya maisha na Kansela wa Taasisi ya Kipapa Yohane Paulo II

 

 

 

Kanisa la Korea ya kusini katika harakati za kutetea maisha

Kanisa la Korea ya kusini katika harakati za kutetea maisha

Kanisa la Korea katika jitihada za kutetea maisha ya binadamu tangu kutungwa!

23/06/2018 15:14

Hivi karibuni, kumefanyika maandamano makubwa kwa roho ya wakatoliki nchini Korea katika mji wa Seoul kwa ajili ya utetezi wa maisha ambapo wanasema kuwa hakuna kuruhusu sheria ya utoaji mimba, wakionesha juhudi kubwa ya utetezi wa maisha ya binadamu tangu kutungwa kwake hadi mwisho

 

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA Afrika inahitaji mabadiliko ya miundo ya uchumi wao !

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA Afrika inahitaji mabadiliko ya miundo ya uchumi wao !

kwa mujibu wa UNCTAD na UNECA:Mabadiliko ya miundo ya uchumi inatakiwa Afrika

22/06/2018 14:34

Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Biashara na Maendeleo (UNCTAD),na tume ya Umoja wa Mataifa ya uchumi barani Afrika,UNECA daima imekuwa ikisisitiza kwamba ili kufikia Malengo ya Maendeleo endelevu ya kuimarisha Afrika inahitaji mabadiliko makubwa ya miundo ya uchumi wao.

 

 

 

 

Bw. Antònio Guterres Katibu Mkuu wa UN akiwa nchini Urusi amekutana na patriaki Cyril Kiongozi wa Kiorthodox huko Moscow,pia kukutana na Rais Putin

Bw. Antònio Guterres Katibu Mkuu wa UN akiwa nchini Urusi amekutana na patriaki Cyril Kiongozi wa Kiorthodox huko Moscow,pia kukutana na Rais wa Bwana Vladimir Putin

Katibu Mkuu wa UN anasema ukristo ni sehemu kamili ya utamaduni wa Mashariki

22/06/2018 14:18

Ukristo ni sehemu kamili ya utamaduni wa Mashariki,kwa maana hiyo ni kuhakikisha wakristo na wahusika wa dini ndogo ndogo wanarudi makwao kutokana na kwasababu za vurugu na mateso.Ametamka Bw.Guterres,Katibu Mkuu wa UN, wakati wa mazungumzo na Patriaki Cyril mjini Moscow  Urusi

 

Tume ya Baraza la Makanisa Ulaya kwa upande wa wakimbizi wanatoa wito wa kufanya kumbukumbu ya wakimbizi waliokufa wakiwa njiani kuja Ulaya

Tume ya Baraza la Makanisa Ulaya kwa upande wa wakimbizi wanatoa wito wa kufanya kumbukumbu ya wakimbizi waliokufa wakiwa njiani kuja Ulaya

Tarehe 24 Juni Siku ya kukumbuka wahamiaji waliokufa njiani kuja Ulaya

22/06/2018 13:51

Haki na mapokezi ndiyo njia iliyo changanuliwa na Kanisa la Ulaya mbele ya janga la mapambano dhidi ya uhamiaji.Haya yametamkwa na Baraza la Makanisa Ulaya (Cec) siku hizi wakitoa  wito kwa Jumuiya ya kikristo barani kukumbuka waathirika tangu mwaka 2000 hadi leo waliokufa njiani 

 

 

Kanisa la Burundi kjifunga kibwewe ili kuwasadia kabila wa Batwa ambao wamewekwa pembezoni mwa jamii na umaskini wa kukithiri

Kanisa la Burundi kjifunga kibwewe ili kuwasadia kabila wa Batwa ambao wamewekwa pembezoni mwa jamii na umaskini wa kukithiri

Kanisa la Burundi kutetea haki za maisha ya kabila dogo la Batwa !

22/06/2018 13:34

Kanisa katoliki nchini Burundi linaonesha wasiwasi juu ya hali ya maisha ya kabila la Batwa ambao ni kabila dogo lililosahaulika na kuwekwa pembezoni katika umaskini wa kukithiri. Kabila hili linahesbika kuwa wazaliwa wa kwanza katika msitu wa kanda,lakini wakiwakilisha asilimia moja ya watu