Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Habari Njema ya Wokovu inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa!

12/07/2018 16:40

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini ni muda muafaka wa kutafakari kuhusu changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa, tayari kuwatangazia watu wa Mataifa furaha ya Injili inayomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji, kiini cha uinjilishaji mpya!

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia inalitaka Kanisa; Kuona, Kung'amua na Kutenda.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia, inalitaka Kanisa: Kuona, Kung'amua na Kutenda kwa ari na moyo mkuu.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia: Kuona, Kung'amua na Kutenda

09/06/2018 15:50

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yatakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa jili ya ekolojia endelevu". Hati ya maandalizi ya Sinodi ya Amazonia inakazia umuhimu wa: kuona, kung'amua na kutenda!

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa ahimiza upyaisho kiinjili katika matendo ya kimisionari !

01/06/2018 16:04

Tarehe 1 Juni 2018 Baba Mtakatifu Francisko, amekutana na wakurugenzi wa Shughuli za Kipapa za Kimisionari mjini Vatican na kuwakaribisha kwa furaha katika tukio la Mkutano Mkuu na hasa kushukuru hotuba ya utangulizi wa Kardinali Filoni,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu 

 

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji katika ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji kwa ajili ya ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia 2019 ni mbinu mkakati wa uchungaji

30/04/2018 07:54

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni kwa mwaka 2019 yanapania kuibua mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji zinazofumbatwa katika: uinjilishaji na utamadunisho; ekolojia na utunzaji bora wa mazingira; utu, haki msingi za binadamu na mendeleo endelevu.

Wajumbe wa Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia wamepitisha "Hati ya Maandalizi ya Sinodi" ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia.

Wajumbe wa Sinodi ya Maakofu Ukanda wa Amazonia wamepitisha "Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yapitishwa na Sekretarieti

14/04/2018 16:07

Wajumbe washauri wa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia, baada ya mkutano wao wa awali tangu tarehe 12-13 Aprili 2018 uliohudhuriwa pia na Baba Mtakatifu Francisko wamepitisha kwa kauli moja "Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Amazonia.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yaanza kushika kasi!

13/04/2018 15:23

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itakayofanyika mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa ajili ya ekolojia endelevu" yameanza kutimua vumbi mjini Vatican kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko!

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia kwa mwaka 2019 itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Amazonia: Njia mpya ya Kanisa kwa ajili ya ekolojia endelevu

09/04/2018 14:50

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kujikita katika masuala ya haki, amani na mshikamano; utume na huduma ya upendo, ili kuhakikisha kwamba, Injili ya Kristo inatamadunishwa katika uhalisia wa maisha ya wananchi wa Amazonia, ili Kanisa liweze kupaya sura mpya ya watu wa Amazonia!

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia: Kuibua sera na mbinu mkakati wa uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji msingi ya binadamu: kiroho na kimwili.

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia: Lengo kuu ni kuibua sera na mbinu mkakati utakaosaidia mchakato wa Uinjilishaji wa kina unaogusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili.

Sinodi ya Amazonia: Sera na mikakati ya maendeleo inayofumbata Injili

28/02/2018 07:00

Baba Mtakatifu Francisko ameitisha Sinodi ya Maaskofu wa Ukanda wa Amazonia itakayoadhimishwa mwaka 2019. Lengo ni kuliwezesha Kanisa kuibua mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji zitakazosaidia kudumisha utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi, binadamu akipewa kipaumbele!