Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Miito 2018

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani.

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23.27 Januari 2019 ili kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko kushiriki Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani 2019 Panama

10/07/2018 09:35

Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko kutoka kwa viongozi wa Serikali ya Panama pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Panama na kwamba, atakuwepo nchini humo kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 ili kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Mwenyeheri Paulo VI , Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018

Mwenyeheri Paulo VI, Askofu Mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & O. Romero kutangazwa watakatifu 14 Oktoba 2018

19/05/2018 13:41

Mwenyeheri Paulo VI pamoja na Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero Galdamez ni kati ya wenyeheri sita watakaotangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018. Watakatifu wapya ni mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, mafundisho makuu ya Baba Mtakatifu Francisko kwa wakati huu.

 

Mama Kanisa anawahamasisha vijana kukimbilia huruma na upendo wa Mungu katika Sakramenti ya Upatanisho.

Mama Kanisa anawahamasisha vijana wa kizazi kipya kukimbilia huruma na upendo wa Mungu katika Sakramenti ya Upatanisho!

Umuhimu wa Sakramenti ya Upatanisho katika maisha ya vijana!

26/04/2018 15:19

Kanisa, Mama na Mwalimu anapenda kuwahimiza vijana wa kizazi kipya kuhakikisha kwamba, wanajenga utamaduni wa kuchunguza dhamiri zao kila siku, tayari kukimbilia na kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao! Sakramenti ya Upatanisho ni muhimu katika kupambanua miito!

Papa Francisko: Mapadre iweni na huruma kama Kristo Mchungaji mwema, daima tafuteni ustawi, mafao na maendeleo ya watu wa Mungu!

Papa Francisko: Mapadre iweni na huruma kama Kristo Mchungaji mwema, daima tafuteni, ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu.

Papa Francisko: Mapadre iweni wenye huruma kama Kristo Mchungaji mwema

23/04/2018 09:21

Baba Mtakarifu Francisko anawataka Wakleri kuwa bni watu wenye huruma daima wakimweka Kristo Yesu mchungaji mwema kuwa ni mfano wao bora wa kuigwa! Wajisadake bila ya kujibakiza kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Kristo Yesu, Bwana na Mwalimu!

Jumapili ya Msamaria Mwema, Kanisa linaadhimisha Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani kwa Mwaka 2018.

Jumapili ya Msamaria Mwema, Kanisa linaadhinisha Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani.

Jumapili ya Kristo Mchungaji mwema, Siku ya Kuombea Miito Duniani!

17/04/2018 11:44

Jumapili ya IV ya Kipindi cha Pasaka maarufu kama Jumapili ya Yesu Kristo Mchungaji mwema ni siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kusali na kuombea miito mbali mbali ndani ya Kanisa! Mwaka 2018 yanaongozwa na kauli mbiu "Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu". (Lk. 1:16-21).

 

Jimbo kuu la Torino linaendelea kujielekeza kuhusu utume kwa vijana ili waweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake!

Jimbo kuu la Torino linaendelea kujielekeza katika utume kwa vijana ili vijana waweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake!

Jimbo Kuu la Torino na mbinu mkakati wa utume kwa vijana!

29/12/2017 15:43

Baba Mtakatifu Francisko anaihamasisha familia ya Mungu kujenga na kudumisha utamaduni wa kuwasikiliza, kuwajali, kuwaimarisha katika imani na kuwasindikiza katika hija ya maisha yao, ili waweze kufanya maamuzi magumu katika mwanga wa Injili ya Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu!