Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Sinodi ya Amazonia: Sehemu ya Pili: Kung'amua

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Habari Njema ya Wokovu inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa!

12/07/2018 16:40

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini ni muda muafaka wa kutafakari kuhusu changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa, tayari kuwatangazia watu wa Mataifa furaha ya Injili inayomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji, kiini cha uinjilishaji mpya!

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia inalitaka Kanisa; Kuona, Kung'amua na Kutenda.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia, inalitaka Kanisa: Kuona, Kung'amua na Kutenda kwa ari na moyo mkuu.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia: Kuona, Kung'amua na Kutenda

09/06/2018 15:50

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yatakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa jili ya ekolojia endelevu". Hati ya maandalizi ya Sinodi ya Amazonia inakazia umuhimu wa: kuona, kung'amua na kutenda!